- Ligi ya Mabingwa Afrika Wananchi kwenye kibarua ugenini Februari 7,2026
- AS FAR Rabat vs Yanga SC CAF Champions League kituo kinachofuata kundi B
- Prince Dube kuongoza jahazi, Clement Mzize asukwa kuwakabili Waarabu
AS FAR Rabat vs Yanga SC CAF Champions League unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa CSPMA saa 4:00 usiku. Wananchi tayari wamewasili Morocco na kuanza maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo. Katika mchezo wa kwanza walipokutana Yanga SC 1-0 AS FAR Rabat goli likifungwa na Prince Dube. Kwa maana hiyo mchezo wa pili unatarajiwa kuwa na ushindani mkali kwa timu zote.
SOMA HII: AS FAR vs Young Africans: Matokeo gani Morocco kuipeleka Yanga Robo Fainali?
Cheza sasa ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Bado hujashinda na SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

AS FAR Rabat vs Yanga SC CAF Champions League Mzize kuanza?

AS FAR Rabat vs Yanga SC CAF Champions League hatua ya makundi kuna swali kuhusu Clement Mzize kama ataanza. Mzize alikuwa nje kwa muda kutokana na kutokuwa fiti tayari amesharejea kwenye ubora. Yupo kwenye orodha ya wachezaji waliopo Morocco na ameanza mazoezi. Taarifa zinaeleza kuwa benchi la ufundi litaamua aanze ama asianze.
Msimamo wa kundi B
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Al Ahly | 4 | 2 | 2 | 0 | 8 |
| 2. Yanga SC | 4 | 1 | 2 | 1 | 5 |
| 3. AS Far | 4 | 1 | 2 | 1 | 5 |
| 4.Kabylie | 4 | 2 | 2 | 1 | 2 |
Matokeo ya Yanga SC CAF Champions League 2025/26
| 22/11/2025 | Yanga SC | 1 | 0 | AS Far Rabat |
| 28/11/2025 | JS Kabylie | 0 | 0 | Yanga SC |
| 23/01/2026 | Al Ahly | 2 | 0 | Yanga SC |
| 31/01/2026 | Yanga SC | 1 | 1 | Al Ahly |
Wachezaji muhimu kwa AS FAR Rabat
Ahmed Reda Tagnaouti huyu ni mlinda mlango
Marouane Louadni huyu ni beki
Anas Bach huyu ni beki
To Carneioro huyu ni beki
Yunis Abdelhamid huyu ni beki
Wachezaji muhimu kwa Yanga SC

Djigui Diarra mlinda mlango
Ibrahim Hamad beki
Pacome Zouzoua huyu ni kiungo mshambuliaji
Duke Abuya kiungo
Bakari Nondo huyu ni beki.
Mechi 5 za AS FAR Rabat
31/01/2026 FAR Rabat 1-0 Kabylie
24/01/2026 Kabylie 0-0 FAR Rabat
28/11/2025 FAR Rabat 1-1 Al Ahly
22/11/2025 Yanga SC 1-0 FAR Rabat
09/11/2025 FAR Rabat 0-0 Maghreb Fez
SOMA HII: Matokeo ya Yanga SC CAF Champions League 2025/26/ Standings, fixture

Mechi 5 za Yanga SC
31/01/2026 Yanga SC 1-1 Al Ahly
27/01/2026 Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC
23/01/2026 Al Ahly 2-0 Yanga SC
19/01/2026 Yanga SC 6-0 Mashujaa FC
07/12/2025 Coastal Union 0-1 Yanga SC
Hitimisho
AS FAR Rabat vs Yanga SC CAF Champions League ni mchezo wa maamuzi kwa timu itakayotanguliza mguu robo fainali. Wababe hawa wote wawili wana pointi 5 hivyo mshindi atakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi. Ni timu mbili kila kundi zitasonga mbele hatua ya robo fainali mara baada ya mechi 6 za makundi kuchezwa.

