AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa TunisiaSami tena
  • Djigui Diarra ametwaa tuzo ya mchezaji bora mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Tunisia.
  • AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia.
  • Matokeo na ratiba zote hizi hapa tumekusogezea

AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia kwa mujibu wa ripoti. Usiku wa kuamkia Januari 4 timu ya taifa ya Tunisia ilikwama kufuzu hatua ya robo fainali. Kipigo cha penati 3-2 baada ya matokeo kuwa Mali 1-1 Tunisia.

SOMA HII: AFCON 2025: Matokeo na Ratiba, hizi hapa timu zilizofuzu hatua ya mtoano (16 bora)

Shinda sasa hivi na kindege cha SportPesa mamilioni

Leo ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

AFCON 2025: Sami Trabelsi kukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia

AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia
Sami Trabeis Kocha Mkuu wa timu ya taifa Tunisa.

 Ripoti zinaeleza AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia. Maamuzi hayo yametolewa mara baada ya mchezo dhidi ya Mali uliochezwa Uwanja wa Mohammed V. Licha ya kwamba Mali walikuwa pungufu bado Tunisia walikwama kupata ushindi wakiishia kumilika mchezo.

 Mali ilicheza dakika zote ikiwa pungufu baada ya Woyo Coulibaly kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 26. Kipa Djigui Diarra alikuwa kikwazo kwa Tunisia. Baada ya dakika 120 kukamilika alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa mchezo alipookoa penati mbili.

Taarifa zinaeleza kuwa Shirikisho la Mpira nchini Tunisia halikufurahishwa na matokeo hayo lipo kwenye mchakato wa kutafuta kocha mpya. Sami Trabelsi kufukuzwa kazi ni jambo ambalo linasubiri muda kuwa wazi.

SOMA HII: Morocco vs Tanzania AFCON 2025: Ratiba, Live score, lineups, h2h, prediction, Habari za timu

image

Matokeo ya 16 bora


Mali 1-1 Tunisia, Uwanja wa Mohammed V, Casablanca.

Wafungaji

Lassine Sinayoko dakika ya 90+6 kwa penalti alifunga kwa Mali.
First Chaouat dakika ya 88 alifunga kwa Tunisia. Dakika 120 zilikamilika ngoma ikiwa ni 1-1 mshindi alipatikana kwa penalti Mali 3-2 Tunisia.

Diarra Mali (-)
Diarra mchezaji bora mchezo wa Mali vs Tunisia AFCON 2025.

Takwimu muhimu, Mali vs Tunisia

Mali Tunisia
4Mashuti9
1Lenga lango3
27%Umiliki73%
11Faulo18
1Kadi nyekundu0
4Kadi za njano6
4Kona11
1Kuotea4

Takwimu muhimu, Senegal vs Sudan

AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan
Gueye mchezaji bora mchezo wa Senegal vs Sudan.
Senegal Sudan
12Mashuti8
7Lenga lango3
67%Umiliki33%
15Faulo10
0Kadi nyekundu0
2Kadi za njano2
7Kona4
3Magoli1

Januari 3, 2026: Senegal 3-1 Sudan umechezwa Grand Stade de Tanger.

Wafungaji

 Aamir Abdallah dakika ya 6 Sudan.

 Pape Gueye dakika ya 29 na 45+3 kwa Senegal

Ibrahim Mbaye dakika ya 77 kwa Senegal.


Jumapili, Januari 4,2026
Morocco vs Tanzania saa 1:00 usiku
Afrika Kusini vs Cameroon saa 4:00 usiku

Jumatatu, Januari 5,2026
Misri vs Benin saa 1:00 usiku
Nigeria vs Msumbiji, saa 4:00 usiku

Jumanne, Januari 6, 2026
Algeria vs Dr Congo saa 1:00 usiku
Ivory Coast vs Burkina Faso, saa 4:00 usiku.

Kundi A

 MPWDLPTS
1.Morocco32107
2. Mali30303
3.Comoros30212
4.Zambia30212

Kundi B

 MPWDLPTS
1.Misri32107
2. A.Kusini32016
3.Angola30212
4.Zimbabwe30121

Kundi C

AFCON 2025 Uganda 1-1 Tanzania
Msuva mchezaji bora Tunisia vs Tanzania.
 MPWDLPTS
1. Nigeria33009
2.  Tunisia31114
3.Tanzania30212
4.Uganda30121

Kundi D

 MPWDLPTS
1. Senegal32107
2.Dr.Congo32107
3.Benin31023
4.Botswana30030

Kundi E

 MPWDLPTS
1. Algeria33009
2.B. Faso32016
3.Sudan31023
4.Eq.Guinea30030

Kundi F

 MPWDLPTS
1.I. Coast32103
2. Cameroon32103
3.Mozambique31023
4. Gabon30030

SOMA HII: AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan/ Highlights, goals, award, fixtures

image


Hitimisho

AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia inatajwa kutokana na mwendo wake kutokuwa bora. Timu hiyo ilikuwa kundi C ikimaliza nafasi ya pili kwenye msimamo. Mchezo wa tatu iligawana alama moja na Tanzania kwa kufungana 1-1.

Share this: