AFCON 2025: Morocco 1-0 TanzaniaTanzania vs Morocco
  • Brahim Diaz amefunga goli pekee la ushindi katika Africa Cup of Nations
  • AFCON 2025: Morocco 1-0 Tanzania hatua ya 16 bora mchezo ukikamilika
  • Ratiba na matokeo ya AFCON 2025 hatua ya 16 bora, msimamo makundi tumekusogezea hapa

AFCON 2025: Morocco 1-0 Tanzania ni matokeo rasmi mchezo wa hatua ya 16 bora. Wenyeji wanasonga mbele hatua ya robo fainali. Goli la ushindi limefungwa na Brahim Diaz dakika ya 64. Mfungaji wa goli la ushindi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo.

SOMA HII: AFCON 2025: Sami Trabelsi kufukuzwa kazi timu ya taifa Tunisia/ Highlights, fixtures, standings

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image
image

AFCON 2025: Morocco 1-0 Tanzania

AFCON 2025: Morocco 1-0 Tanzania
Msuva nyota wa Tanzania mchezo dhidi ya Morocco AFCON 2025.

AFCON 2025: Morocco 1-0 Tanzania, Brahim Diaz amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo. Matokeo hayo yanaifanya Morocco kuungana na Senegal na Mali hatua ya robo fainali.

Brahim tuzo
Brahim mchezaji bora mchezo dhidi ya Tanzania.

Takwimu muhimu Morocco vs Tanzania

Morocco Tanzania
12Mashuti4
3Lenga lango1
73%Umiliki27%
15Faulo18
0Kadi nyekundu0
1Kadi za njano5
4Kona0
2Kuotea1

Matokeo ya 16 bora

Januari 3,2025: Mali 1-1 Tunisia, Uwanja wa Mohammed V, Casablanca.

Wafungaji

Lassine Sinayoko dakika ya 90+6 kwa penalti alifunga kwa Mali.
First Chaouat dakika ya 88 alifunga kwa Tunisia. Dakika 120 zilikamilika ngoma ikiwa ni 1-1 mshindi alipatikana kwa penalti Mali 3-2 Tunisia.

Takwimu muhimu Mali vs Tunisia

Mali Tunisia
4Mashuti9
1Lenga lango3
27%Umiliki73%
11Faulo18
1Kadi nyekundu0
4Kadi za njano6
4Kona11
1Kuotea4

Takwimu muhimu Senegal vs Sudan

Senegal Sudan
12Mashuti8
7Lenga lango3
67%Umiliki33%
15Faulo10
0Kadi nyekundu0
2Kadi za njano2
7Kona4
3Magoli1

SOMA HII: AFCON 2025: Matokeo, hawa hapa wafungaji bora kabla ya Ratiba ya 16 bora, Feisal na Msuva wamo?

image

Wafungaji

 Januari 3, 2025: Senegal 3-1 Sudan umechezwa Grand Stade de Tanger.

Aamir Abdallah dakika ya 6 Sudan.

 Pape Gueye dakika ya 29 na 45+3 kwa Senegal

Ibrahim Mbaye dakika ya 77 kwa Senegal.


Jumapili, Januari 4,2026

Afrika Kusini vs Cameroon saa 4:00 usiku

Jumatatu, Januari 5,2026
Misri vs Benin saa 1:00 usiku
Nigeria vs Msumbiji, saa 4:00 usiku

Jumanne, Januari 6, 2026
Algeria vs Dr Congo saa 1:00 usiku
Ivory Coast vs Burkina Faso, saa 4:00 usiku.

Msimamo wa makundi ulivyokuwa

Diarra Mali (-)
Diarra kipa wa timu ya taifa ya Mali.

Kundi A

 MPWDLPTS
1.Morocco32107
2. Mali30303
3.Comoros30212
4.Zambia30212

Kundi B

 MPWDLPTS
1.Misri32107
2. A.Kusini32016
3.Angola30212
4.Zimbabwe30121

Kundi C

 MPWDLPTS
1. Nigeria33009
2.  Tunisia31114
3.Tanzania30212
4.Uganda30121

Kundi D

 MPWDLPTS
1. Senegal32107
2.Dr.Congo32107
3.Benin31023
4.Botswana30030

Kundi E

 MPWDLPTS
1. Algeria33009
2.B. Faso32016
3.Sudan31023
4.Eq.Guinea30030

Kundi F

 MPWDLPTS
1.I. Coast32103
2. Cameroon32103
3.Mozambique31023
4. Gabon30030

SOMA HII: AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba/ Morocco vs Tanzania kuwashangaza wengi, msimamo

image


Hitimisho

AFCON 2025 Morocco 1-0 Tanzania wenyeji wamepenya hatua inayofuata. Diaz goli lake kipindi cha pili lilibadilisha matokeo. Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Tanzania aliingia na mbinu ya kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza.

Share this: