Leo kwenye SportPesa Casino tunakuletea toleo jipya la kisasa la mchezo wa Sweet Bonanza Dice. Mchezo huu unachezwa kwenye gridi ya 6×5, na unahitaji alama nane au zaidi sawa za dice kuwepo mahali popote kwenye utambulisho ili kupokea ushindi.
Kwenye mchezo huu mtu una uwezo wa kushinda hadi mara 25,000x ya beti, ambapo kwa wiki TZS 688,500,000 hutolewa kwa washindi kwa kila shindano, mzunguko mmoja unaweza kukuwezesha kupata ushindi wako.
Pia mchezo huu wa sweet bonanza hutoa washindi wa kila siku ambapo, mshindi mmoja ana uwezo wa kushinda pia hadi mara 25,000x ya beti aliyoweka, hadi TZS 94,500,000 hutolewa kwa siku, na humalizika ndani ya siku 7.
MARADUFU(MULTIPLIER)
Mchezo wa Sweet Bonanza huwa na ishara ya maradufu (Multiplier) ambayo inaonekana kwenye reels zote lakini tu katika Free Games, huwa haigharimu malipo yenyewe, huwa inatoa multiplier yeyote (Random Multiplier), na jumla ya mizunguko huzidishwa na jumla ya Multiplier kwenye alama za Multi.

Sweet Bonanza hutoa fursa kwa mtumiaji kuanza mizunguko kwa mkono, kwa TZS 2000 mtumiaji anaweza kupata mizunguko 10 ya bure (Free Spins), mtumiaji ana uwezo wa kununua mzunguko wa bure kabla mzunguko wenyewe (Sio free spin au Re- Spin).
SHERIA ZA MCHEZO WA SWEET BONANZA
Mchezo wa Sweet Bonanza unatumia alama tofauti kama matunda aina ya ndizi, tikiti maji, zabibu, Pamoja na maumbo tofauti, alama hizi zinapofanana zote hadi hadi mwisho wa mchezo huonyesha kiasi gani mtumiaji ameweza kushinda.
KUWEKA BETI.
Chaguo la mchezaji ni kuchagua mara mbili ya dau. Kulingana na dau iliyochaguliwa, mchezo unajitokeza tofauti. Thamani zinazowezekana ni: Mara mbili ya beti – inatoa uwezo wa kununua mzunguko wa bure( FREE SPIN)kwa kulipa thamani sawa na mara 100 ya jumla ya beti. Mara mbili na nusu ya beti – nafasi ya kushinda mzunguko wa bure kwa asili iko mara nyingi.
TABIA YA KUTIRIRISHA ( TUMBLE FEATURE)
Tabia ya Kutiririsha( tumble feature) inamaanisha kwamba baada ya kila mzunguko, combination za kushinda zinalipwa na alama zote za kushinda zinaondolewa. Alama zilizobaki hushuka chini ya skrini na nafasi zilizo wazi zinabadilishwa na alama zinazokuja kutoka juu. Kutiririsha kutaendelea hadi hakuna combination nyingine za kushinda zinapoonekana kama matokeo ya kutiririsha. Hakuna kikomo cha idadi ya kutiririsha inayowezekana. Ushindi wote unahesabiwa kwenye salio la mchezaji baada ya kutiririsha zote zilizoletwa na mzunguko wa msingi kuisha.
KANUNI YA MZUNGUKO BILA MALIPO( FREE SPIN BET)
Kipengele cha mizunguko ya bila malipo hutolewa kwa mchezaji wakati alama 4 au zaidi za kutawanya zinapogonga yoyote kwenye skrini au ambapo mizunguko ya bure imenunuliwa, mizunguko huanza na spin 10 za bure.
Wakati wowote alama 3 au zaidi za SCATTER zinapogongwa wakati wa mzunguko wa bure, mizunguko 5 ya ziada ya bila malipo hupewa mchezaji

MCHEZO WA WASTANI(VOLATILITY)
Malipo ya michezo ya wastani kwa kasi na malipo hutofautiana kutoka chini hadi juu sana,alama hulipa popote, pia ushindi wote huzidishwa na dau aliyoweka mchezaji,Thamani zote zinaonyeshwa kama ushindi halisi katika sarafu.Unaposhinda na alama nyingi, ushindi wote huongezwa kwa ushindi wa jumla.Ushindi wa bure wa spins hutolewa kwa mchezaji baada ya raundi kukamilika.Ushindi wa jumla wa mizunguko ya bure katika historia una ushindi mzima wa mzunguko.Vifungo vya SPACE na ENTER kwenye kibodi vinaweza kutumika kuanzisha na kusimamisha mzunguko,kiwango cha chini cha kucheza ni TZS 25, wakati kiwango cha juu ni TZS 125,000.Hitilafu hubatilisha malipo na michezo yote.
JINSI YA KUCHEZA SWEET BONANZA.
Ili kuweza kucheza mchezo wa Sweet Bonanza, Bofya kitufe cha + au – ili kubadilisha thamani ya dau na kufungua menyu ya dau
KUFUNGUA UKURASA WA MAELEZO (INFORMATION SCREEN)
Mchezo huu huonyesha lebo za CREDIT na BET zinaonyesha salio la sasa na jumla ya dau la sasa.
Bofya kwenye lebo ili kubadilisha kati ya mwonekano wa sarafu(coin) na mwonekano wa pesa taslimu(cash),badilisha juu au chini dau la sasa na ufungue menyu ya beti, ambapo unaweza kubadilisha dau.
KUWEKA MENU (SETTING MENU)
QUICK SPIN – Huchagua mpangilio wa Quick Spin ili reli za mchezo zianze kiotomatiki na kusimamisha punde inapotolewa,INTRO SCREEN – hugeuza nakuzima skrini ya utangulizi,AMBIENT – hugeuza sauti na muziki iliyoko kwenye mchezo kuwasha na kuzima,SOUND FX – huwasha na kuzima madoido ya sauti ya mchezo,HISTORIA YA MCHEZO – Fungua ukurasa wa historia ya mchezo.
Mchezo huu wa Sweet Bonanza ambao unapatikana katika tovuti yetu ya sportpesa.co.tz, bonyeza kitufe cha Kasino chagua kitufe kilichoandikwa popular na utaukuta mchezo huu.

