Mr Elifasi Bonus Winner--

 Jackpot ya SportPesa hivi karibuni ilimfanya mteja wake kuwa milionea mpya jijini.

Elifasi Juma Mohamed, aliyepatia mechi 10 sahihi kati ya mechi 13 kwenye Mid-weekJackpot na kushinda TZS 12,573,157.

Mr Elifasi Bonus Winner--

 

Akizungumza katika ofisi za SportPesa baada ya uhakiki na makabidhiano ya mfano wa hundi Elifasi anasema alianza kucheza na SportPesa miaka mitano iliyopita baada ya kuwa anaona kwenye magazeti ya michezo na kurasa za mitandao ya kijamii, pia siku nyingine nilikuwa naona washindi kupitia kurasa ya kijamii kama facebook, Instagram na youtube.

Elifasi, ambaye ni mfanya biashara wa mazao,alianza kama mshindi wa beti ndogo ndogo ambapo aliwahi kushinda Tsh 99,000, lakini ushindi mkubwa zaidi wa jackpot ya SportPesa hakuwahi kushinda. alionyesha imani ya juu sana kwa SportPesa na kuendelea kucheza ili aweze kushinda jackpot nzima.

“Kwenda SportPesa leo kwa sababu ya ushindi wa bonasi hii kubwa kumenipa furaha sana,kwani sikutegemea kupata ushindi huu” Alisema Elifasi.

Elifasi aliendelea kusema kuwa kila jackpot ikitoka husuka mikeka hiyo hiyo,na mara nyingi huwa anatumia dakika tano au tatu kupanga mikeka yake mitano.

Mr Elifasi Bonus Winner-

Kuhusu Jackpot bonus aliyoshinda, Elifasi alisema alisuka mikeka ya wiki nne alicheza Zaidi ya mara nne kabla ya kupata ushindi huu.

“Nilisuka na kucheza mikeka hiyo hiyo, kila jackpot ikitoka nacheza hiyo hiyo Zaidi ya mara nne ndio, leo nimefamikiwa kushinda”

Alisema alivyoweka mkeka hakufwatilia, kwani ukifwatilia unaweza kuvunjika moyo pale unapoona umekosa mechi Zaidi ya nne, hivyo yeye huacha hadi mwisho wa matokeo,kisha huangalia ameshinda kiasi gani.

“Wakati sms ya ushindi inaingia nilikuwa na mke wangu ilikuwa mida ya saa sita usiku kunijulisha kuwa nimeshinda bonus ya kiasi TZS 12,573,157”, sikumwambia kuwa nimeshinda hadi lipofika saa tisa usiku.

Sasa baada ya muda watu wa huduma kwa wateja wa SportPesa waliwasiliana na mimi na kunitaka kufika ofisini, kama ambavyo unaniona leo kwa ajili ya uhakiki bila kusahau nimepata mapokezi mazuri hapa ofisi za SportPesa.

“Kiasi hiki cha ushindi nitakitumia kununuliwa mazao, kumalizia nyumba yangu ninayojenga pia kufanyia biashara ndogo ndogo  ambayo itaweza kuniongezea mapato yangu,pamoja na matumizi yangu ya kawaida”. Alisema Elifasi.

Elifasi aliamua kucheza na SportPesa kwa sababu alijua hawezi kukosea, ni kampuni ambayo haina longo longo kama kampuni nyingine, ukikosea ni kweli umekosea na ukishinda ni kweli umeshinda na unatumiwa hela yako hapo hapo, ndio maana nikavutiwa nayo“Ningependa kuwaambia watu karibu sportPesa ukishinda umeshinda, ukikosa umekosa, sawa na mechi ukifungwa umefungwa, ukifunga umefunga”

Akimpongeza Elifasi kwa ushindi wake wa Jackpot bonus ya katikati ya wiki, Mkuu wa kitengo cha mawasiliano SportPesa Sabrina Msuya alimpa pongezi na kumtaka kuendelelea kucheza Jackpot za SportPesa, Multibet Pamoja na michezo mingine kama ya Kasino na Virtual Pro,ili kuweza kujiwekea nafasi Zaidi ya kuweza kushinda ile jackpot yetu kubwa.

Ili kucheza michezo ya Jackpot tembelea tovuti yetu ya www.sportpesa.co.tz au piga *150*88#

 

Share this: