skip to Main Content
Pata Odds Bora Kwa Kubashiri Ligi Ya Mpira Wa Miguu Hispania Kupitia SportPesa.

Pata odds bora kwa kubashiri ligi ya mpira wa miguu Hispania kupitia SportPesa.

Bashiri kwa Barcelona, ​​Real Madrid na wengine kwenye ligi maarufu ya mpira wa miguu nchini Hispania. SportPesa ina kila kitu unachohitaji kwa kubashiri wa soka iwe kwenye simu janja au kompyuta.

La Liga ni ligi ya mpira wa miguu ya Hispania ambapo timu mbili maarufu ulimwenguni ni miongoni mwa timu zinazoshindana- Barcelona na Real Madrid. Katika miaka 92 ambayo ligi imekuwepo, timu hizi mbili zimetawala, na ushindi 60 kati yao. Ikiwa unataka kubeti kwa matokeo ya mchezo maalum, utapata odds zote za La Liga SportPesa pamoja na masoko mengine ili kuongeza pointi zaidi.

Utawala wa timu mbili kubwa unamaanisha La Liga ni ya kuvutia sana kwa wapenda kubashiri mpira wa miguu wote hapa Tanzania na ulimwengun. Inakupa fursa ya kuweka dau salama kwenye uipendayo.

Historia na muundo wa La Liga

Ligi za mpira wa miguu za Hispania zilikuwepo tangu mwishoni mwa miaka ya 1800, lakini mnamo 1929 hatua zilifanywa kuunda ligi ya kitaifa. Hii awali ilikuwa na timu kumi za juu kutoka ligi za mkoa, lakini hii iliongezeka pole pole. Leo, La Liga inafuata muundo sawa na ligi zingine kuu za Uropa kama Ligi Kuu ya Uingereza, na timu 20 ambazo kila moja hucheza mara mbili, mara moja nyumbani na mara moja ugenini, kwa msimu. Kuna mfumo wa kupandisha na kushusha daraja timu mbili.

Katika miaka yote hiyo, kuna timu tatu tu ambazo hazijawahi kushushwa daraja. Labda unaweza kubashiri wawili wao – Barcelona na Real Madrid. Nyingine ni Athletico Bilbao – hii ni timu ambayo imeshuka miaka ya hivi karibuni, lakini katika miaka ya mwanzoni ya La Liga, Athletico walikuwa ni kikosi kikubwa, wakishinda misimu minne kati ya minane ambayo ilichezwa kabla ya ligi kusimamishwa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe Hispania.

Vitu maarufu vinavyochochea Ligi.

Timu gani utaishangilia La liga? Barca na Real Madrid ni chaguo maarufu zaidi. Timu hizi zimethibitisha kuwa zina ustadi wa kuendelea kutawala na wana bajeti ya kuajiri wachezaji bora zaidi.

Lionel Messi ni moja ya vipaji vikubwa zaidi ambavyo mpira wa miguu umewahi kuona, na katika miaka yake 16 huko Barca amefunga mabao mengi kuliko mtu mwingine yeyote katika historia ya La Liga. Jambo la kushangaza ni kwamba umri wake ni miaka ya 30 na anaonekana kumaliza kazi yake na idadi nzuri ya mabao zaidi ya 500. Mtu anayeshika nafasi ya pili akiwa na mabao 311 tu, takwimu ambayo Messi angeweza kuiongeza mara mbili ikiwa atabaki Barca kwa miaka mingine miwili au mitatu. Messi pia ndiye mwanasoka wa pili kulipwa zaidi ya dola bilioni 1 kama mapato ya kazi.

Nyota wengine wakubwa miaka yote ni pamoja na bilionea wa mpira wa miguu, Cristiano Ronaldo, ambaye kwa zaidi ya miaka 10 huko Real Madrid alithibitisha nafasi yake katika historia ya mpira wa miguu. Kuna majina makubwa kutoka miaka mingi iliyopita, kama Neymar, Hugo Sanchez, David Villa, Diego Maradona, Zinadene Zidane na David Beckham kutaja wachache tu. Pesa na umaarufu mkubwa zaidi wa Barca na Real zimeifanya La Liga kuwa ligi bora kimichezo hasa katika soka, na hilo ni jambo ambalo halitabadilika wakati wowote hivi karibuni.

Kwa mtazamo wa michezo ya kubashiri, ni kivutio hasa upande wa odds kwa timu zinazojulikana kuwa na uwezo mkubwa kuliko nyingine. Ndio maana, Barca na Real ndio washindi maarufu. Lakini mara tatu katika miaka 20 iliyopita, wameondolewa kwenye nafasi ya kwanza, mara mbili na Valencia na mara moja na Atlético Madrid. Inaweza kutokea tena mwaka huu? Atlético, ni timu ambayo haipaswi kudharauliwa na imeonekana kuziba pengo la timu hizi mbili kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Ikiwa unafikiria huu utakuwa mwaka wao kung’aa, elekea sehemu yetu ya kubashiri soka ya La Liga kwa odds nzuri zaidi.

Jinsi ya kubashiri La Liga kupitia SportPesa

Kupitia SportPesa, tunakuletea chaguo kubwa zaidi kwenye La Liga.

Aina nyingine ya dau ambayo ni maarufu sana katika La Liga ni juu / chini. Hapa ndipo tunatoa ubashiri wa idadi ya mabao ambayo yatafungwa kwenye mchezo, kwa mfano 2.5. Basi unaweza kubashiri ikiwa idadi kamili ya magoli kwenye mchezo itakuwa juu au chini. Sababu ya aina hii ya dau katika La Liga inakuja kwenye mechi za Real na Barca. Sio kawaida kuwaona wakitawala timu za chini kwa kiwango ambacho wanaweza kupata alama mara nane au zaidi.

Kwa mfano, ni nani anayeweza kusahau mchezo huo mzuri wa mwaka 2015 wakati Real waliwafunga Rayo Vallecano 10-2? Lakini hata hiyo sio uwiano mkubwa wa ushindi kwenye mchezo wa La Liga. Huko nyuma mnamo 1931, Barcelona katika mchezo ambao ulimalizika 12-1. Ambapo walifungwa kwa aibu na Athletic Bilbao.

Kupitia SportPesa unaweza kuweka ubashiri wakati mechi inaendelea na kukupa nafasi zaidi ya kuusoma mchezo endapo utaona dalili ya matokeo kubadilika.

Share this:
Back To Top