JACKPOT BONUS YA SPORTPESA YAENDA ZANZIBAR
Waswahili wanamsemo ‘’hakuna linaloshindikana chini ya Jua’’. Hivi ndivyo msemo huu ulioasisiwa na mababu zetu ulivyotimia kwa Seif Kundi Seif, mfanyakazi wa hoteli anayepatikana maeneo ya Amani kisiwani Zanzibar. Kijana…
