Jezi ya SportPesa Simba,haitafutika kirahisi…
Jezi ya SportPesa Simba,haitafutika kirahisi… Safari yao pamoja itaendelea kubaki kwa miaka mingi sana MWAKA 2017, ndio klabu ya Simba iliingia mkataba wa miaka mitano na kampuni kubwa ya masuala ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa Tanzania. Mkataba…