Azam FC yaivuruga Simba SC yaifunga mara mbili mfululizo/ Kariakoo Dabi hakuna tena
Azam FC yaivuruga Simba SC 2025/26 baada ya kupata matokeo mara mbili mfululizo. Wababe hawa wamekutana mara mbili mashindano tofauti. Simba SC 0-2 Azam FC ilikuwa ligi na Azam FC…
