KATI YA YANGA, SIMBA, AZAM NA SINGIDA BS Nani kuvuna Nini Kwenye Ligi ya NBC Kesho
Ligi Kuu ya Tanzania bara inakaribia kumalizika ambapo kesho Juni 6 pamoja na Ijumaa Juni 9,2023 timu zote 16 zitashuka dimbani kusaka ushindi ambao unaweza kubadili msimamo lakini pia kuboresha…
