MANCHESTER CITY vs INTER MILAN- Fainali ya UEFA Champions League ya kibabe.
Jiji la Instabul lililopo katika nchi ya Uturuki litakuwa mwenyeji wa fainali ya Klabu bingwa barani Ulaya itakayopigwa kesho Jumamosi ya Juni 10, 2023 kati ya timu ya Manchester City…
