Simba SC vs Yanga SC: Wakali wa mipira ya kutenga kuelekea Kariakoo Dabi Oktoba 10, 2026 | Uwanja wa Uhuru
Kuelekea Dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC, tunachambua umuhimu wa mipira ya kutenga na jinsi inavyoweza kuamua matokeo ya mchezo huu mkubwa wa Ligi Kuu Tanzania…
