MUUZA CHIPSI WA MTONI KIJICHI ALAMBA BONASI YA SUPA JACKPOT 5,908,578/-
Unaweza ukasema bahati haina mwenyewe. Hivi ndivyo usemi huu ulivyotimia kwa Hamisi Kassimu Ndingo, mkazi wa Kijichi, Wilaya ya Temeke, Dar-Es-Salaam. Mshindi huyu ni mmoja wa wachezaji wengi wa kitanzania…
