Clement Mzize mshambuliaji wa Yanga SC anaondoka | Ali Kamwe afichua kuhusu ofa
Clement Mzize mshambuliaji wa Yanga SC anaondoka ikiwa ataamua kwa kuwa ana ofa zaidi ya tatu. Ikumbukwe kwamba Mzize alicheza mechi 30 za ligi msimu wa 2024/25 na timu hiyo…
