SportPesa na Tigo pesa yaibua mshindi wa Maokoto Deilee-15,000,000
Diatus Ishengoma ni mmoja wa watanzania wenye bahati, ambae amefanikiwa kujishindia shilingi 15,000,000 katika Kampeni ya Maokoto Deilee ya SportPesa na Tigo pesa, Kampeni hii ilizinduliwa mnamo tarehe 21mwezi wa…
