Wakiingia mkataba leo: Bilionea MO Dewji Simba awasha moto, awalipua wakina Mangungu
Moto unazidi kuwaka ndani ya kikosi cha Simba SC. Wakati timu hiyo leo ikitangaza kuingia makubaliano ya mkataba wa kuandaa kadi za Wanachama, Mfadhili wao Mohammed Dewji ‘MO Dewji Simba’…
