Namungo FC vs Mbeya CityJuma MgundaJuma Mgunda

Namungo FC vs Mbeya City
Mwani nyota wa Mbeya City

Namungo FC vs Mbeya City:NBC Premier League 2026/27 | H2H | Prediction

  • Namungo FC vs Mbeya City NBC Premier League pambano la kukata na shoka, 20/11/2026.
  • Uwanja wa Majaliwa wababe hawa wawili watakutana kwenye msako wa pointi tatu muhimu.
  • Wauaji wa Kusini kwenye msimamo wapo nafasi ya 7 wakiwa na pointi 15 huku Mbeya City ikiwa nafasi ya 11 na pointi 13.

Mchezo wa kusisimua wa Ligi Kuu ya NBC unatarajiwa kupigwa Novemba 20, 2026, Namungo FC vs Mbeya City. Hii ni fursa kwa timu zote mbili kusaka pointi muhimu katika harakati zao za ligi.Mei 21,2026 walipokutana ilikuwa Namungo FC 1-1Mbeya City, hivyo pambano lao huwa sio jepesi.

Mchezo huu utafanyika Tanzania, na unatarajiwa kuanza saa 12:30 jioni. Timu zote mbili zinaingia kwenye mchezo huu zikiwa na matokeo tofauti katika mechi zao za hivi karibuni. Uwanja wa Majaliwa,pambano hili kali litapigwa.

SOMA HII PIA:Tanzania Premier League 2026/27: Fixtures, Results, Standings and Teams

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha kindege

Una nafasi yakushinda mamilioni ukipaisha kindege sasa hivi na SportPesa. Marubani wapo hewani wanavuna mkwanja. Zamu yako ni sasa bofya hapa chini.

image

Namungo FC vs Mbeya City taarifa za mchezo

Kipengele Maelezo
Mashindano NBC Premier League
Mchezo Namungo FC vs Mbeya City
Uwanja Majaliwa
Tarehe 20/11/2026
Timu mwenyeji Namungo FC

Msimamo

Namungo FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 7 baada ya mechi 11.Mbeya City FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 11 baada yakucheza mechi 10.Ni pointi 15 imekusanya Namungo FC tofauti ya pointi 2 na wapinzani wao ambao wamekusanya pointi 13.

Takwimu za head-to-head na fomu ya sasa

Kwenye NBC Premier League 2026/27, Namungo FC imepata ushindi kwenye mechi 5, imepoteza mechi 6.Mchezo uliopita ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Uhuru.Mbeya City kwenye mechi 10, imepata ushindi mechi 4, sare 1 na kupoteza mechi 5.

21/05/2026. Namungo FC 1-1 Mbeya City

30/11/2025,Mbeya City 0-1 Namungo FC

09/04/2023, Namungo FC 2-1 Mbeya City

04/11/2022, Mbeya City 2-1 Namungo FC

Utabiri na mtazamo wa wahariri

Kutokana na fomu ya timu zote mbili na historia ya michezo yao, tunatarajia mchezo wa wazi na wenye nafasi nyingi za kufunga. Ingawa Namungo FC wana faida ya uwanja wa nyumbani, Mbeya City wameonyesha uwezo wa kupambana ugenini. Tunatabiri mchezo wa sare au ushindi mwembamba kwa upande mmoja.

Namungo FC 2-1 Mbeya City haya ni maoni ya mhariri.Wababe hawa wamekuwa na asili yakufungana hivyo mchezo hautakosa mabao.Matokeo rasmi yatapatikana baada ya dakika 90.

SOMA HII PIA:Namungo FC: Ratiba, Matokeo na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27

Hitimisho

Namungo FC vs Mbeya City ni kituo kinachofuata ndani ya NBC Premier League.Novemba 20,2026 Ijumaa burudani itakuwa hewani ikirushwa mubashara kupitia Azam TV.Safu ya ushambuliaji ya Namungo FC imefunga mabao 12 inakutana na Mbeya City iliyofunga mabao 9.

Share this: