England vs Croatia UEFA Nations League Group C 12/11/2026: Live score, h2h, Habari za timu

England vs CroatiaEngland vs CroatiaEngland vs Croatia

England vs Croatia UEFA Nations League Group C 12/11/2026: Live score, h2h, Habari za timu

  • Ratiba ya mechi za UEFA Nations League inaendelea, huku miongoni mwa ratiba za mechi kali ikiwa ni England vs Croatia.
  • Mechi hii ni ya Kundi C ambayo inayotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Wembley majira ya saa nne na dakika 45 usiku.
  • Mpaka sasa baada ya mechi 4 England inakamatia nafasi ya 2 kwenye msimamo wa kundi na pointi zao 9, huku Croatia wakikamatia nafasi ya 3 na pointi zao 3.
  • Unaweza kufuatilia matokeo ya mchezo huu ‘Live’ kwa kupitia SportPesa Score.

Ratiba ya Ligi ya mataifa yaani ‘UEFA Nations League’ inaendelea, huku miongoni mwa ratiba za mechi kali ikiwa ni England vs Croatia. Mechi hii ni ya Kundi C ambayo inayotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Wembley majira ya saa nne na dakika 45 usiku. Mpaka sasa baada ya mechi 4 England inakamatia nafasi ya 2 kwenye msimamo wa kundi na pointi zao 9, huku Croatia wakikamatia nafasi ya 3 na pointi zao 3.

SOMA HII PIA: England vs Croatia FIFA Kombe la Dunia 2026: Utabiri, team news, lineups, H2H na odds | SportPesa Blog

Unaweza kuweka mkeka wako kwenye mchezo huu kwa kugusa hapa chini

England vs Croatia
England vs Croatia

Ratiba na muda wa mchezo

Uwanja wa Wembley
Uwanja wa Wembley

Mchezo huu utafanyika leo Novemba 12, 2026, na unatarajiwa kuanza saa 22:45 EAT. Mashabiki wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka kwa timu hizi mbili zenye vipaji vingi. Mchezo huu utapigwa Uwanja wa Wembley, London England.

SOMA HII PIA: World Cup 2026 Top Scorers: Final Golden Boot Standings, Player Stats and Records

Habari za timu na majeruhi

 

Kwa sasa hakuna taarifa rasmi za majeruhi wapya au wachezaji watakaokosekana kwa timu zote mbili. Hata hivyo, taarifa kamili itatoka saa chache kabla ya mchezo kuanza. Makocha watahakikisha wanapanga kikosi imara ili kupata matokeo chanya.

Takwimu za England vs Croatia h2h na fomu ya sasa

England vs Croatia h-h
England vs Croatia h-2-h

Historia ya michezo ya awali kati ya England na Croatia inaonyesha ushindani mkali. Timu hizi zimekutana mara 13 katika mashindano mbalimbali. England imeshinda mechi 8, huku Croatia wakishinda mechi 3 na mechi 2 zilizosalia zikiisha kwa matokeo ya sare. Hivyo mechi hii itakuwa nafasi kwa timu zote mbili kuboresha rekodi za mikutano yao.

Wachezaji muhimu na mbinu

Jude- Harry
Jude X Harry

England inajulikana kwa kasi na vipaji vya vijana, huku Croatia ikitegemea uzoefu na ufundi wa wachezaji wake wa kati. Mbinu za makocha zitakuwa muhimu sana katika kuamua nani atatawala dimba na kuibuka na ushindi. Wachezaji muhimu kutoka pande zote mbili, wakiwemo Jude Bellingham na Decline Rice wa England, na kwa upande wa Croatia, Luka Vuskovic, Josko Gvardiol, Luka Modric, Petar Suci wanapaswa kuchungwa.

SOMA HII PIA: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Utabiri na mtazamo wa wahariri

Mchezo huu unatarajiwa kuwa mgumu na wa kusisimua. England itakuwa na faida ya kucheza nyumbani kwenye Uwanja wa Wembley. Croatia ni timu yenye uzoefu na inaweza kutoa upinzani mkali. Tunatarajia mchezo wa wazi na nafasi chache za mabao. Kama ilivyo kwa mechi za UEFA Nations League, kila pointi ni muhimu, timu zote zitapambana vikali kuhakikisha zinapata matokeo mazuri, matokeo kamili yatategemea sana jinsi timu zitakavyoingia uwanjani na kutumia nafasi zao.

Hitimisho

England vs Croatia ni ratiba ya mchezo muhimu kwenye Kundi C la mashindano haya, matokeo ya mchezo huu yatatoa taswira mpya ya msimamo wa kundi. Mashabiki watarajie moja ya mechi kali na za kuvutia. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa zaidi.

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.