
- Simba SC vs Namungo FC ni mchezo ujao NBC Premier League, Novemba 2,2026 Uwanja wa Uhuru.
- Yanga SC vs Kagera Sugar ni ratiba inayofuata kwenye ligi, Novemba Mosi, 2026 Uwanja wa KMC Complex.
- Ratiba ya NBC Premier League mzunguko wa 11 ni moto wa kuotea mbali ikijumuisha mechi kali ikiwemo Polisi Tanzania vs Geita Gold FC.
Kivumbi kinaendelea hapa tumekuletea ratiba ya NBC Premier League 2026/27 ikiwa ni mzunguko wa 11.Oktoba 31 kuna mechi kali mbili za funga kazi, Castal Union vs Dodoma Jij FC na JKT Tanzania vs Azam FC.Novemba Mosi 2026 zitapigwa mechi mbili kali miongoni mwa hiyo ni Yanga SC vs Kagera Sugar.
SOMA HII PIA:JKT Tanzania: Ratiba, Matokeo na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27
Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha kindege
Una nafasi yakushinda mamilioni ukipaisha kindege sasa hivi na SportPesa. Marubani wapo hewani wanavuna mkwanja. Zamu yako ni sasa bofya hapa chini.

Hii hapa ratiba ya NBC Premier League 2026/27 mzunguko wa 11
| Tarehe | Mechi | Uwanja |
|---|---|---|
| Oktoba 31, 2026 | Coastal Union vs Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkwakwani |
| Oktoba 31, 2026 | JKT Tanzania vs Azam FC | Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo |
| Novemba 1, 2026 | Polisi Tanzania vs Geita Gold FC | Uwanja wa Ushirika |
| Novemba 1, 2026 | Yanga SC vs Kagera Sugar | Uwanja wa KMC Complex |
| Novemba 2, 2026 | TRA United vs Fountain Gate | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid |
| Novemba 2, 2026 | Mashujaa FC vs Pamba Jiji FC | Uwanja wa Lake Tanganyika |
| Novemba 2, 2026 | Simba SC vs Namungo FC | Uwanja wa Uhuru |
| Novemba 3, 2026 | Mbeya City vs Singida Black Stars | Uwanja wa Sokoine |
Simba SC vs Namungo FC kitapigwa Uwanja wa Uhuru
Vinara wa NBC Premier waakibarua chakusaka ushindi wakiwa nyumbani.Novemba 2,2026 ni mchezo wa kwanza ndani ya mwezi mpya.Simba SC vs Namungo FC pambano kali litakalopigwa Uwanja wa Uhuru.
Kwenye msimamo Simba SC inaongoza ligi ikiwa na pointi 27 inakutana na Namungo FC iliyo nafasi ya 6 na pointi 15.Mnyama ni unbeaten katika mechi 9 zote alizoshuka uwanjani.Yanga SC nafasi ya pili ikiwa na pointi 22.
SOMA HII PIA:Simba SC ni Unbeaten NBC Premier League 2026/27 | Msimamo
Hitimisho
Katika ratiba ya NBC Premier League 2026/27 kila mechi ni kali kutokana na maandalizi.Yanga SC vs Kagera Sugar inatazamwa kwa ukaribu.Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Cedric Kaze aliwahi kuifundisha Yanga SC anarejea akiwa na timu mpya.

