
Club Brugge 3-0 Lens: UEFA Champions League 2026/27 | Highlights | Msimamo
- FT:Club Brugge 3-0 Lens matokeo ya UEFA Champions League 2026/27.
- Pambano hili kali limepigwa Uwanja wa Jan Breydel, Bruges.
- Hans Vanaken alifungua pazia katika kufunga mabao na Carlos Forbs alifunga bao la tatu timu hiyo ikifikisha pointi 6 nafasi ya 11 kwenye msimamo.
- Fuatilia UEFA Champions League live, matokeo, lineup kupitia SportPesascore.
Pambano limeisha kwa ubao kusoma Club Brugge 3-0 Lens yakiwa ni matokeo rasmi UEFA Champions League 2026/27.Wafungaji ni Hans Vanaken dakika ya 45+3, Joaquin Seys dakika ya 50 na Carlos Forbs dakika ya 72.Uwanja wa Jan Breydel, Bruges, Oktoba 21,2026.
SOMA HII PIA:Como 4-1 Manchester United: UEFA Champions League | Highlights | Live score
Shinda milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’ ya SportPesa gusa hapo chini
Kapteni huku kuna mkwanja mrefu kuliko sehemu nyingine huu sio utani.Paisha kindege cha SportPesa uvune mpaka milioni 800 sasa hivi.Bofya link hapa chini:-
Club Brugge 3-0 Lens taarifa kuhusu mashindano
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | UEFA Champions League |
| Matokeo | Club Brugge 3-0 Lens |
| Uwanja | Jan Breydel, Bruges |
| Tarehe | 21/10/2026 |
| Timu mwenyeji | Club Brugge |
Takwimu
| Kipengele | Club Brugge | Lens |
| Mabao | 3 | 0 |
| Mashuti | 9 | 12 |
| Umiliki | 56% | 44% |
| Pasi | 626 | 533 |
| Kadi ya njano | 2 | 2 |
| Kadi nyekundu | 0 | 0 |
| Kona | 1 | 5 |
Msimamo
Club Brugge nafasi ya 11, mechi 3 ushindi 2 imepoteza moja ina pointi 6
Lens nafasi ya 27 mechi 3 ushindi 1 imepoteza 2 ina pointi 3.
Vinara kwenye UEFA Champions League ni PSG imekusanya pointi 9 safu ya ushambuliaji imefunga mabao 14, Aston Villa safu ya ushambuliaji imefunga mabao 12 nafasi ya pili na Liverpool imefunga mabao 12 nafasi ya 3 zote zina pointi 9.
SOMA HII PIA:Uefa Champions League 2026/27: Timu, Ratiba, Droo, Mfumo wa Mashindano mpaka Fainali
Hitimisho
Club Brugge 3-0 Lens wageni walifanya mashambulizi mengi licha yakupoteza mchezo huo.Katika upande wa umiliki eneo hilo wenyeji walitawala.Carlos Forbs alikomela msumari wa mwisho wakijihakikishia pointi tatu kubaki nyumbani.


