
Como 4-1 Manchester United ni matokeo rasmi mchezo wa UEFA Champions League Oktoba 21,2026.Mabao ya wenyeji yamefungwa na Nico Paz dakika ya 2,57, Anastasios Douvikas dakika ya 49 na Jacob Ramon dakika ya 76.Bao pekee la Manchester United limefungwa na Joshua Zirkzee dakika ya 90+1, kilipigwa Stadio Giuseppe Sinigaglia,Como.
SOMA HII PIA:Manchester United: Ratiba, kikosi, usajili na matarajio msimu wa 2026/27
Shinda milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’ ya SportPesa gusa hapo chini
Rubani huku kuna mkwanja mrefu kuliko sehemu nyingine huu sio utani.Paisha kindege cha SportPesa uvune mpaka milioni 800 sasa hivi.Bofya link hapa chini:-
Como 4-1 Manchester United taarifa muhimu
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | UEFA Champions League |
| Matokeo | Como 4-1 Manchester United |
| Uwanja | Stadio Giuseppe Sinigaglia,Como |
| Tarehe | 21/10/2026 |
| Timu mwenyeji | Como |
Como 4-1 Manchester United takwimu
| Kipengele | Como | Manchester United |
| Mabao | 4 | 1 |
| Mashuti | 12 | 13 |
| Umiliki | 54% | 46% |
| Pasi | 631 | 502 |
| Kadi ya njano | 1 | 5 |
| Kadi nyekundu | 0 | 0 |
| Kona | 1 | 4 |
Kocha Manchester United aomba radhi
Kocha Mkuu Manchester United,Michael Carrick amewaomba radhi mashabiki kutokana na kipigo hicho.Kocha huyo amebainisha kuwa walikuwa wanahitaji ushindi kilichotokea hawakutarajia.Ameongeza kuwa mashabiki wamekuwa wanajitoa kwa moyo kwenye timu hiyo watapambana mechi zijazo.
“Haikuwa vile ambavyo tumeteajia kwa matokeo haya ambayo yanaumiza.Kwa upande wa wachezaji kila mmoja ukimzungumzia haikuwa kitu ambacho tunahitaji.Ninaomba radhi kwa mashabiki kwa kuwa wamekuwa na moyo na wamesafiri umbali mrefu kwa ajili ya timu,”.
SOMA HII PIA:2026/27 UEFA Champions League: Qualified teams, format, key dates and teams to watch
Hii haina kusubiri dakika 90 unavuna mamilioni
Kuna mkwanja unakusubiri hapohapo wakati wa mchezo bila kusubiri dakika 90 kuisha.Chaguo la 1UP, 2UP,3UP ni kwa ajili yako.Rahisi sana, bofya link hapa chini ucheze na uvune mpunga mapema:-
Hitimisho
Ni Como 4-1 Manchester United matokeo yaliyowashangaza mashabiki wengi baada ya dakika 90.Mechi 3 Man U imeshinda mchezo mmoja ikipoteza mbili kibindoni ina pointi 3.Como nafasi ya 9 ina pointi 6 imeshida mechi 2 na kupoteza mchezo mmoja.



