Mexico 0-2 Chile Mechi ya kirafiki: Livescore, h2h, lineup, uchambuzi

ByJoel Thomas

October 7, 2026
Mexico --- ChileMexico --- ChileMexico --- Chile

  • Mexico 0-2 Chile ndivyo ulivyosomeka ubao wa matokeo pale Los Angeles Memorial Coliseum, USA katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki.
  • Ni mabao ya Maximiliano Gutierrez na Vicente Pizarro dakika ya 54 na 65 mtawalia ndiyo yamewalaza Mexico.
  • Huu ni mchezo wa nne bila ushindi kwa kocha mpya wa Mexico, Rafael Marquez jambo ambalo linaongeza presha kwake.
  • Makala hii inachambua kwa ufupi matokeo, magoli na mwenendo wa mchezo huu.

Mexico 0-2 Chile, ni matokeo ya kushangaza ya mchezo uiopigwa Los Angeles Memorial Coliseum, USA katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Mabao ya Maximiliano Gutierrez na Vicente Pizarro dakika ya 54 na 65 mtawalia ndiyo yaliyopeleka kilio kwa timu ya taifa ya Mexico. Huu ni mchezo wa nne bila ushindi kwa kocha mpya wa Mexico, Rafael Marquez jambo ambalo linaongeza presha kwake. Makala hii inachambua kwa ufupi matokeo, magoli na mwenendo wa mchezo huu.

SOMA HII PIA: Mexico World Cup 2026: Complete Squad list, Fixtures, Results, Group, and Table & Standings

Historia ya ushindani h2h kati ya Mexico vs Chile

Matukio ya mchezo (-)
Matukio ya mchezo 

Mexico na Chile zimekutana mara 24 ambapo kila timu imefanikiwa kuibuka na ushindi katika mechi 10, mechi 4 zilizosalia zilimalizika kwa sare. Ripoti hizi ni pamoja na mchezo uliomalizika hivi punde. Mechi kati ya timu hizi hujaa ushindani mkali wa kiasili.

Shinda mpaka milioni 800 ya kindege cha SportPesa sasa, kucheza gusa hapa chini

Screenshot ---------- ------

Takwimu za ana kwa ana (h2h)

Rekodi ya kocha mpya Rafa
Rekodi ya kocha mpya Rafa
Timu Michezo Iliyochezwa Ushindi (Mexico) Ushindi (Chile) Sare Mabao (Mexico) Mabao (Chile)
Mexico vs Chile 24 10 10 4 24 32

Takwimu hizi zinaonyesha kuwa Chile imekuwa na rekodi bora kidogo katika mikutano ya awali, hasa ile ya kihistoria. Hata hivyo, kila mchezo ni mpya wanapokutana.

Shinda mpaka shilingi Milioni 200 na Bongo Ride, kuchez gusa hapa chini

image
 

Maandalizi ya timu na wachezaji muhimu

Mexico 0-2 Chile
Matukio ya mchezo

Timu zote mbili zimekuwa zikifanya maandalizi makali kwa ajili ya mchezo huu. Mexico, imetumia sehemu kubwa ya mechi za kombe la Dunia 2026 ambalo walikuwa wenyeji kuonyesha jeuri ya ubora wa kikosi chao. Wachezaji wao wengi wanacheza katika ligi kubwa duniani, wakileta uzoefu mkubwa. Chile pia ina wachezaji wenye vipaji na uzoefu mkubwa.

Hitimisho

Mexico 0-2 Chile kwa baadhi ya watu yalikuwa ni matokeo ya kushangaza, lakini kutokana na historia ya ushindani na ubora wa timu zote mbili, mchezo mkali ulitarajiwa. Ingawa ni mchezo wa kirafiki, heshima na kiburi cha kitaifa vitakuwa vikiwaka uwanjani. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa za papo kwa hapo.

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.