Romania vs Sweden UEFA Nations League League: Livescore, h2h, lineup, uchambuzi

ByJoel Thomas

October 5, 2026
Isak X GyokeresIsak X GyokeresIsak X Gyokeres

  • Hatua ya makundi ya mashindano ya UEFA Nations League inaendelea leo Jumatatu, ambapo kuna ratiba ya Romania vs Sweden.
  • Mechi hii inatarajiwa kupigwa huko National Arena Bucharest, Romania.
  • Timu hizi zinahistoria ya kukutana katika michezo 12, ambapo Sweden wamekuwa na rekodi bora ya kshinda mechi 7, Romania wao wameshinda mechi 3 huku mechi 2 zikiisha kwa sare.
  • Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 25 Septemba 2026 ambapo matokeo yalikuwa Sweden 2-1 Romania, makala hii inauchambua kwa ufupi mchezo huu.

‘UEFA Nations League’ inaendelea leo Jumatatu, ambapo Pamoja na michezo mingine ratiba ya mechi ya Romania vs Sweden inasubiriwa kwa hamu. Mchezo huu unatarajiwa kupigwa huko huko National Arena Bucharest, Romania saa tatu na dakika 45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Sweden ambao wanaongoza msimamo wa kundi H na pointi zao 7 wamekutana na Romania, katika michezo 12 kabla ya pambano la leo, ambapo Sweden imeshinda mechi 7 huku Romania wakishinda mechi 3. Mechi 2 zilizosaia ziliisha kwa sare.

SOMA HII PIA: Belgium vs Turkey UEFA Nations League League: Livescore, h2h, lineup, uchambuzi

Unaweza kuweka mkeka wako wa mechi hii kupitia SportPesa Blog kwa kubonyeza hapa chini

Romania vs Sweden
 

Habari za timu na majeraha

Sweden
Sweden

Kwa sasa hakuna taarifa rasmi za majeruhi au wachezaji waliokosa mchezo huu zilizothibitishwa. Hata hivyo, makocha wa timu zote mbili watahakikisha wanakuwa na kikosi kamili na chenye afya bora kabla ya mchezo. Taarifa za kina kuhusu wachezaji watakaokosekana zitapatikana kupitia vyanzo rasmi vya taarifa vya timu hizi.

SOMA HII ZAIDI: Hungary vs Georgia: Mtanange wa UEFA Nations League | Prediction | Lineup

Je, hujashinda? cheza kindege cha SportPesa sasa ushinde mpaka Milioni 800 gusa hapa chini

Screenshot ---------- ------
 

Takwimu za head-to-head na fomu ya sasa

romania
romania

Sweden ndio vinara wa msimamo wa kundi H baada ya kukusanya pointi 7 katika mechi 3, wameshinda 2 na kusare 1. Katika historia ya timu hizi inaonyesha kuwa wamekutana katika michezo 12 kabla ya pambano la leo, ambapo Sweden imeshinda mechi 7 huku Romania wakishinda mechi 3. Mechi 2 zilizosalia ziliisha kwa matokeo ya sare.

Wachezaji muhimu na mbinu za kimchezo

kikosi cha Romania
kikosi cha Romania

Kwa upande wa Romania, watahitaji kutegemea wachezaji wao wenye uzoefu na uwezo wa kubadilisha matokeo ya mchezo. Sweden, kwa upande wao, watajaribu kutumia nguvu zao za kimwili na kasi kuwashinda wapinzani wao. Mbinu za makocha zitakuwa muhimu sana katika mchezo huu. Kila kocha atajaribu kuweka mikakati itakayowapa timu yake faida dhidi ya mpinzani.

Chukua chako mapema 1UP, 2UP, 3UP haina kusubiri dakika 90

Screenshot ---------- ------
 

Utabiri na mtazamo wa wahariri

Kikosi cha Sweden
Kikosi cha Sweden

Mchezo huu unatarajiwa kuwa mgumu kwa timu zote mbili. Romania watakuwa nyumbani na watajaribu kutumia faida hiyo kupata pointi tatu muhimu. Ikumbukwe mpaka sasa Romania hawajapata pointi yoyote. Sweden, kwa upande wao, wataingia uwanjani wakiwa na lengo la kupata ushindi ugenini ili kuzidi kusalia kileleni mwa msimamo wa ligi.

SOMA HII ZAIDI: Ukraine vs Northern Ireland Nations League League: Livescore, h2h, lineup, uchambuzi

Hitimisho

Romania vs Sweden ni ratiba ya mchezo ambao utatoa taswira mpya ya kundi H la mashindano haya. Kulingana na uchambuzi wa awali, mchezo huu unaweza kuisha kwa sare au ushindi mwembamba kwa upande mmoja na ushindani mkali unatarajiwa katika kila idara ya uwanja. Usikose kufuatilia matokeo ya mchezo huu wa UEFA Nations League kupitia SportPesa Blog. Cheza na ushinde na SportPesa!

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.