Belgium vs Turkey UEFA Nations League League: Livescore, h2h, lineup, uchambuzi

ByJoel Thomas

October 2, 2026
Mastaa wa BelgiumMastaa wa BelgiumMastaa wa Belgium

  • Ligi ya mataifa ya UEFA yaani ‘UEFA Nations League’ inaendelea leo Ijumaa, huku Belgium vs Turkey ikiwa miongoni mwa ratiba ya mechi za kuzitolea jicho.
  • Mechi hii inatarajiwa kupigwa Stade Maurice Dufrasne huko Liège, Belgium
  • Timu hizi zina historia ya kukutana katika michezo 11, ambapo mpaka sasa hakuna mbabe kwani kila timu imeshinda mechi 3, mechi 5 zikiisha kwa sare.
  • Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 3 Juni 2011 ambapo matokeo yalikuwa Belgium 1-1 Turkey mechi ya mashindano ya kufuzu UEFA Euro. Makala hii inauchambua kwa ufupi mchezo huu.

‘UEFA Nations League’ inaendelea leo Ijumaa, huku mchezo wa Belgium vs Turkey ukiwa miongoni mwa ratiba ya mchezo wa kuutolea jicho. Mchezo huu unatarajiwa kupigwa Stade Maurice Dufrasne huko Liège, Belgium. Historia yamikutano ya timu hizi inaonyesha zimekutana katika michezo 11, ambapo mpaka sasa hakuna mbabe kwani kila timu imeshinda mechi 3, mechi 5 zikiisha kwa sare. 3 Juni 2011 ndiyo ilikuwa mara ya mwisho timu hizi kukutana ambapo matokeo yalikuwa Belgium 1-1 Turkey mechi ya mashindano ya kufuzu UEFA Euro, makala hii inauchambua kwa ufupi mchezo huu.

SOMA HII PIA: FIFA World Cup Group Stages Schedule 2026 – Full Fixtures, Dates & Group Breakdown

Unaweza kuweka mkeka wako wa mechi hii kupitia SportPesa Blog kwa kubonyeza hapa chini

Belgium vs Turkey
 

Habari za timu na majeruhi

Kikosi cha Belgium
Kikosi cha Belgium

Kwa sasa, hakuna taarifa rasmi za majeruhi au wachezaji waliokosa mchezo huu zilizothibitishwa. Hata hivyo, makocha wa timu zote mbili watahakikisha wanakuwa na kikosi kamili na chenye afya bora kabla ya mchezo. Taarifa za kina kuhusu wachezaji watakaokosekana zitapatikana kupitia vyanzo rasmi vya taarifa vya timu hizi.

Shinda milioni 800 kwa kucheza kindege cha SportPesa sasa, bonyeza hapa chini

Screenshot ---------- ------

Takwimu zao waipokutana (h2h) na fomu ya sasa

Kikosi cha Turkey
Kikosi cha Turkey

Historia ya michezo ya awali kati ya Ubelgiji na Uturuki inaonyesha ushindani mkali. Mpaka sasa hakuna mbabe ambapo katika michezo 11 waliyokutana kila timu imeshinda mechi 3 na mechi 5 zilizosalia zikiisha kwa sare. Matokeo yoyote ya mchezo huu yataandika rekodi mpya ya ushindani baina ya timu hizi. Ubelgiji imekuwa ikionyesha uwezo mkubwa wakicheza nyumbani, huku Uturuki ikiwa miongoni mwa timu zilizo na vipaji vikubwa.

SOMA HII ZAIDI: Prediction Belgium vs Senegal FIFA Kombe la Dunia 2026: Team news, lineups, odds

Unaweza kushinda mpaka Milioni 200 sasa kupitia Bongo ride

Screenshot ---------- ------

Wachezaji muhimu na mbinu

Mika
Mika

Ubelgiji inategemea sana vipaji vya wachezaji wake wa kati na washambuliaji wenye uzoefu. Uwezo wao wa kumiliki mpira na kufanya mashambulizi ya haraka utakuwa muhimu. Kwa upande wa Uturuki, staa wao Arda Guler anatarajiwa kuibeba timu hiyo. Ikumbukwe Turkey ni miongoni mwa mataifa yenye safu bora ya ushambuliaji.

SOMA HII PIA: Mbwana Ally Samatta: Profile, Stats, Career, Records, and Latest News.

Utabiri na uchambuzi wa wahariri

Belgium vs Turkey
Ratiba ya mechi za Uturuki

Mchezo huu unatarajiwa kuwa mgumu kwa pande zote mbili. Ubelgiji inaweza kuwa na faida ya uwanja wa nyumbani na uzoefu wa wachezaji wake nyota. Hata hivyo, Uturuki imekuwa ikionyesha uwezo wa kushangaza siku za karibuni na inaweza kusababisha matatizo makubwa kwa Ubelgiji. Tunatarajia mchezo wa wazi na nafasi nyingi za kufunga.

Hitimisho

Belgiunm vs Turkey ni mchezo unaotoa fursa nzuri kwa mashabiki wa soka kushuhudia vipaji na ushindani wa hali ya juu. Kila timu itapambana vikali kutafuta ushindi, na matokeo yoyote yanawezekana. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa uchambuzi zaidi na taarifa za michezo.

 

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.