Simba SC vs Yanga SCChama vs Yanga SCChama vs Yanga SC

Simba SC vs Yanga SC
Simba SC wachezaji wa kikosi cha kwanza akiwemo Chama, Gueye, Mpanzu
  • Pambano kali la Simba SC vs Yanga SC linatarajiwa kupigwa Uwanja wa Uhuru kwa wababe wawili kusaka pointi 3 muhimu
  • Oktoba 10, 2026 Kariakoo Dabi mchezo wenye ushindani mkubwa utachezwa kwa watani haw awa jadi.
  • Simba SC ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 18 sawa na Yanga SC iliyo nafasi ya kwanza tofauti ya mabao yakufunga na kufungwa.

Simba SC vs Yanga SC inanukia kwa wababe hawa kukutana Uwanja wa Uhuru katika mchezo wa NBC Premier League. Mnyama anajiandaa kwa Dabi ya Kariakoo ya mwaka 2026, mojawapo ya mechi kubwa na yenye ushindani katika kalenda ya soka Tanzania. Kabla ya pambano hili la kihistoria dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC ni muhimu kuchambua msimamo wao wa ligi na matokeo ya hivi karibuni.

SOMA HII PIA: Simba SC ratiba, matokeo, msimamo NBC Premier League 2026/27 | SportPesa Blog

Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

Screenshot ---------- ------

Oktoba 10, 2026 mchezo huu unatarajiwa kupigwa ambapo wenyeji Simba SC wameweka kambi Afrika Kusini. Chini ya Kocha Mkuu, Steve Barker.Wachezaji muhimu waliopo ni Ibrahim Doumbia, Clatous Chama, Ellie Mpanzu na Duchu ikiwa ni sehemu ya kikosi.

Msimamo wa Simba SC katika NBC Premier League

Simba SC baada ya mechi 6 ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 18. Haijapoteza mchezo ikiwa na ushindi kwenye mechi zote za ligi. Matokeo ya mchezo uliopita ilikuwa Azam FC 0-2 Simba SC.

Simba SC vs Yanga SC 2026/27
Msimamo wa NBC Premier League 2026/27

Matokeo ya hivi karibuni ya Simba SC

Tarehe Matokeo
Agosti 16, 2026 Kagera Sugar 0-2 Simba SC
Agosti 19, 2016 Pamba Jiji FC 1-2 Simba SC
Agosti 22, 2026 Singida Black Stars 1-2 Simba SC
Agosti 27,2026 Simba SC 1-0 Coastal Union
Agosti 31,2026 Simba SC 2-0 Geita Gold
Septemba 16, 2026 Azam FC 0-2 Simba SC

Kambi ya Simba SC Afrika Kusini

Katika kuuchukulia uzito mchezo wa Kariakoo Dabi wachezaji wa Simba SC wapo nchini Afrika Kusini. Kambi hiyo ni maalumu kwa maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa. Mchezo unaofuata kwenye ratiba kwa mnyama ni dhidi ya Yanga SC.

Steve Barker, Kocha Mkuu wa Simba SC ameweka wazi kuwa kambi hiyo imekuwa na matokeo mazuri. Ameongeza kwamba utulivu wa eneo walilopo unawapa nguvu kufanya maandalizi mazuri. Amewaomba mashabiki kuendelea kuwa na timu kila hatua.

“Tumekuwa na maandalizi mazuri kwa ajili ya mechi zetu. Kila mchezaji anaonyesha kujituma na kuelewa zaidi. Tunafurahia mazingira yenye utulivu na kuwa tayari kujifunza, mashabiki waendelee kuwa pamoja nasi kila hatua,”.

SOMA HII PIA: Simba SC: Matokeo, Ratiba na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27

Hitimisho

Simba SC vs Yanga SC ni zaidi ya mchezo uwanjani. Picha ya bingwa mpya wa msimu wa 2026/27 inaanza kujengwa kupitia matokeo ya mchezo huu. Msimu wa 2025/26 mchezo wa mwisho matokeo ilikuwa ilikuwa Simba SC 2-2 Yanga SC.

 

Share this: