
- Oktoba Mosi 2026, Manchester City Women vs Real Madrid Women UEFA Women’s Champions League.
- Pambano hili litapigwa Uwanja wa Joie, England, nyumbani kwa Manchester City Women.
- Manchester City Women ni imara kwenye ulinzi inakutana na Real Madrid Women wakali kwenye ushambuliaji
- Makala hii inachambua kwa ufupi mchezo huu.
Ni Manchester City Women vs Real Madrid Women wanakutana katika pambano la kusisimua la UEFA Women’s Champions League. Mchezo huu unatarajiwa kupigwa Oktoba Mosi 2026 huku timu zote zikipambana kusonga mbele katika mashindano haya makubwa barani Ulaya. Mchezo unatarajiwa kupigwa Uwanja wa Joie, England.
Hapa tumekuletea uchambuzi wa kina wa mchezo huu muhimu, tukichunguza fomu za timu, wachezaji muhimu, na utabiri wa jinsi mambo yanavyoweza kwenda. Ni fursa nzuri kwa mashabiki wa soka la wanawake kushuhudia vipaji vikubwa vikichuana.
SOMA HII PIA: Benfica vs Bayern Munich UEFA Women’s Champions League: Livescore, h2h, lineup, uchambuzi Premier League 2026/27
Unaweza kuweka mkeka wako wa mechi hii Manchester City Women vs Real Madrid Women kupitia SportPesa kwa kubonyeza hapa chini

Habari za timu na majeraha
Manchester City Women, Kocha Mkuu Andrée Jeglertz atafanya mabadiliko kwenye kikosi chake. Yui Hasegawa, Lauren Hemp and kinara kwenye ufungaji Bunny Shaw anatarajiwa kurejea uwanjani.
Pau Quesada Kocha Mkuu wa Real Madrid alikiongoza kikosi kupata ushindi dhidi ya Real Sociedad 5-3 Jumamosi. Amebainisha kuwa wapo tayari kwa mchezo unaofuata.
H2H Manchester City Women vs Real Madrid Women
Real Madrid takwimu zinaonyesha kuwa haijapoteza kwenye mechi 3 zilizopita dhidi ya Manchester City. Mchezo wa leo unatarajiwa kuwa na matokeo yakipekee. Inakumbukwa kwamba 2021 Madrid ilipata ushindi kwenye mechi za kuwania kufuzu Champions League.
Wachezaji muhimu na mbinu
Manchester City wanategemea wachezaji kama Yamashita; Casparij, Rose, Greenwood. Hawa wanapewa nafasi kuanza kikosi cha kwanza. Uwepo wao unaongeza nguvu katika mchezo muhimu.
Kwa upande wa Real Madrid Women, wanajivunia wachezaji kama Frohms; Navarro, Lakrar, Andersson. Mbinu zao mara nyingi hujikita katika mashambulizi ya kushtukiza na udhibiti wa mpira katikati ya uwanja.
Utabiri na mtazamo wa wahariri
Mchezo huu unatarajiwa kuwa mgumu na wenye ushindani mkali. Manchester City Women wana faida ya uzoefu katika mashindano haya, lakini Real Madrid Women wameonyesha uwezo wa kushangaza na hawapaswi kupuuzwa.
Manchester City Women 1-3 Real Madrid Women haya ni matokeo ya utabiri. Haya sio matokeo rasmi ni maoni ya mhariri.
SOMA HII PIA:WAFCON 2026 robo fainali: ratiba, mechi kubwa na timu za kutazama
Hitimisho
Manchester City Women vs Real Madrid Women moja ya mchezo mkali kwa timu hizi kubwa. Wenyeji wamekuwa imara kwenye eneo la ulinzi wanakutana na timu yenye kasi eneo la ushambuliaji.Cheza na ushinde na SportPesa! Jiunge nasi leo kwa nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali.

