
Norway 1-2 Portugal ni matokeo katika mchezo wa UEFA Nations League-League A . Uwanja wa Ullevaal ulikuwa na jumla ya mashabiki 25,953. Joao Felix alianza kufunga bao la kuongoza dakika ya 17 na Goncalo Ramos alifunga la ushindi dakika ya 64. Bao hilo lilifungwa zikiwa zimepita dakika 3, Norway kuweka usawa dakika ya 51 kupitia kwa Haaland.
SOMA HII PIA:UEFA Champions League results, fixtures and table
Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.
Norway 1-2 Portugal takwimu
| Kipengele | Norway | Portugal |
| Mabao | 1 | 2 |
| Mashuti | 18 | 9 |
| Mashuti yaliyolenga lango | 6 | 4 |
| Umiliki | 62 | 38 |
| Pasi | 579 | 327 |
| Faulo | 8 | 12 |
| Kona | 7 | 2 |
Haaland ameandika rekodi ya mabao
Erling Haaland amefikisha jumla ya mabao 65 kwa timu ya taifa ya Norway. Licha ya rekodi hiyo matokeo yalikuwa mabaya kwa upande wao. Timu hiyo ilipoteza ikiwa nyumbani kwenye mchezo wa pili.
Ronaldo rekodi yake bado mabao 21
Nyota Cristiano Ronaldo bado anapaswa kusubiri kuukimbiza rekodi yakufukisha mabao 1,000 katika maisha ya mpira. Hakuanza kikosi cha kwanza mchezo dhidi ya Norway. Nyota huyo amebakisha mabao 21 kufikia rekodi hiyo. Ikumbukwe kuwa Portugal hawakuwa na Bruno Fernandez nahodha wa Manchester United kwa kuwa hayupo fiti.
Msimamo wa Kundi D
Baada ya mechi 2 kwenye Kundi D Portugal wanaongoza kundi wakiwa na pointi 6 baada ya ushindi kwenye mechi zote 2. Norway nafasi ya pili wana pointi 3. Denmark nafasi ya 3 ina pointi 3 na Wales wanaburuza mkia hawajakusanya pointi.
SOMA HII:2026/27 UEFA Champions League: Qualified teams, format, key dates and teams to watch
Hitimisho
Norway 1-2 Portugal ni matokeo yaliyowapa ushindi wageni wakiwa ugenini. Huu ni ushindi muhimu unawapa nguvu kuongoza kundi. Kila timu imeonyesha ubora katika kutafuta matokeo ni dakika 3 zilitenganisha matokeo rasmi katika mchezo huo wakukata na shoka. Cheza na ushinde na SportPesa!


