
Nottingham Forest vs Coventry City mchezo wakukata na shoka katika Ligi Kuu ya Uingereza msimu wa 2026/27. Pambano hili linatarajiwa kuwa na ushindani mkali, huku kila timu ikitafuta pointi muhimu katika kampeni zao za ligi. Mchezo huu utafanyika katika uwanja wa nyumbani wa Nottingham Forest, City Ground, Septemba 19, 2026, saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Forest wamekuwa na mwanzo mzuri wa msimu, wakionyesha uwezo wa kupata matokeo, huku Coventry City wakihangaika kupata ushindi katika mechi zao za mwanzo. Fuatilia matukio Livescores na SportPesa Score.
Ijue ratiba ya Premier League: Premier League Fixtures
Vuna mamilioni sasa hivi ukipaisha kindenge
Kuna jambo umekwama kwa sasa kuhusu mkwanja? Usiogope, rubani ni jasiri na kazi yake ni kupaisha kindege cha SportPesa. Cheza sasa hivi Aviator uvune mamilioni bofya hapa chini, muda ni wako na nafasi ya ushindi inakusubiri.
| Mechi | Nottingham Forest vs Coventry City |
| Tarehe | Septemba 19, 2026 |
| Muda wa Kuanza | 1:30 usiku EAT |
| Uwanja | City Ground |
| Mashindano | Premier League 2026/27 |
Takwimu za head-to-head na fomu ya sasa
Nottingham Forest wamekuwa na fomu nzuri hivi karibuni, wakiwa hawajafungwa katika mechi tatu zilizopita. Hii inawapa morali wa kutosha kuingia katika mchezo huu wa nyumbani. Katika mechi zao 6 zilizopita, Forest wamekuwa na asilimia 50 ya sare. Coventry City wamepoteza mechi zao zote nne za mwanzo za Ligi Kuu, na hawajafunga bao lolote. Hii inaonyesha changamoto kubwa wanazokabiliana nazo na wanahitaji kubadilisha mkondo haraka.
Coventry City taarifa za majeruhi
Aurele Amenda alipata maumivu dakika ya 12 kwenye mchezo uliopita wakifungwa dhidi ya Aston Villa.Frank Lampard kocha mkuu wa timu hiyo amebainisha kuwa wapo wachezaji atawakosa. Kaine Kesler, Josh Eccles na Luke Woolfenden wanatarajiwa kukosekana kwenye mchezo kutokana na kutokuwa fiti.
Nottingham Forest predicted lineup
Sels, (GK), Aina, Diomande, Murillo, Munoz, Schlager, McAtee, Williams, Gibbs, White, Jeus, Delap
Coventry City predicted lineup
Coventry City predicted lineup: Rushworth; Mfuni, Thomas, Pinnock; Van Ewijk, Grimes, Onyeka, Dasilva Rudoni, Hamer; Simms
Utabiri na mtazamo wa wahariri
Kutokana na fomu ya timu zote mbili, Nottingham Forest wanaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu. Faida ya uwanja wa nyumbani na morali wa wachezaji wao ni mambo muhimu yanayowapa makali.
Coventry City wanahitaji mabadiliko makubwa ili kuweza kupata pointi. Ingawa wanaweza kujitahidi, Forest wanatarajiwa kutumia udhaifu wao. Utabiri wetu unaelekea kwenye ushindi wa Nottingham Forest, labda kwa idadi ndogo ya mabao.
Hitimisho
Nottingham Forest vs Coventry City ni mchezo mkali kwa wababe hawa wawili. Coventry City imeandika rekodi kucheza mechi 4 mfululizo bila kufunga wala kukusanya pointi. Inakibarua kizito kuvunja rekodi hiyo mbaya ikiwa inaburuza mkia nafasi ya 20 dhidi ya timu yenye pointi 5 nafasi ya 11.

