- Hapa tumekuletea taarifa za usajili Ligi Kuu Uingereza 2026 dirisha linatarajiwa kufungwa Septemba Mosi 2026
- Piero Hincapie mwenye miaka 24 aliyekuwa kwa mkopoArsenal akitokea Bayer Leverkusen amesajiliwa jumlajumla kwa washika bunduki.
- Manchester United wamekamilisha dili la Andrey Santos kutoka Chelsea ambaye atakuwa katika kikosi hicho
Hapa tumekuletea taarifa za usajili Ligi Kuu Uingereza 2026 mara baada ya kufunguliwa. Diirisha la usajili majira ya joto lilifunguliwa Juni 15,2026 litafungwa Septemba Mosi saa 5 usiku. Kuna orodha ya wachezaji ambao wamehama na timu ambazo watakuwa katika Ligi Kuu ya Uingereza, (Premier League). Arsenal ambao ni mabingwa watetezi wana wachezaji wapya.
Ijue ratiba ya Ligi Kuu England: EPL: Ratiba ya Ligi Kuu England 2026/27 yatangazwa| Arsenal yaanza kutetea ubingwa dhidi ya Coventry, Manchester United vs Hull City
Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Wachezaji waliosajiliwa Arsenal
Isome historia ya Arsenal: Historia ya Arsenal
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza 2025/26 Arsenal wanaye Piero Hincapie huyu alitoka Bayer Leverkusen. Baada ya kuwa hapo kwa mkopo wamemnunua moja kwa moja. Mwingine anaitwa Christos Tzolis Club Brugge.
| Mchezaji | Alikotoka | Ada ya Uhamisho |
| Illan Meslier | Leeds United | Bure (Free Transfer) |
Wachezaji waliotoka Arsenal
| Mchezaji | Alienda Klabu Gani | Ada ya Uhamisho |
| Jakub Kiwior | Porto | £19m |
| Leandro Trossard | Besiktas | £17m |
| Karl Hein | Werder Bremen | £2.6m |
| Josh Nichols | Kustosija | Bure (Free Transfer) |
| Samuel Chapman | Georgia Southern Eagles | Bure (Free Transfer) |
Wachezaji walioachwa (Released)
| Mchezaji | Hali ya Mkataba |
| Harrison Dudziak | Ameachwa huru |
| Sebastian Ferdinand | Ameachwa huru |
| Cam’ron Ismail | Ameachwa huru |
| Samuel Onyekachukwu | Ameachwa huru |
| Alexei Rojas | Ameachwa huru |
| William Sweet | Ameachwa huru |
Aston Villa
Wachezaji walioingia
| Mchezaji | Alikotoka | Ada ya Uhamisho / Aina ya Usajili |
| Johan Manzambi | Freiburg | £59.5m |
| Joao Gomes | Wolves | £38m |
| Modou Keba Cissa | LASK | Kiasi hakijawekwa wazi (Undisclosed) |
| Blade Earley | Cambridge | Bure (Free Transfer) |
| Alejacho Garnacho | Chelsea | Mkopo (Loan) |
Wachezaji waliotoka
| Mchezaji | Alienda Klabu Gani | Ada ya Uhamisho / Aina ya Usajili |
| Morgan Rogers | Chelsea | £117m |
| Youri Tielemans | Man Utd | £35m |
| Donyell Malen | Roma | £21.6m |
| Lewis Dobbin | Southampton | £10m |
| Enzo Barrenechea | Benfica | £10m |
| Louie Barry | Sheffield Wednesday | Kiasi hakijawekwa wazi (Undisclosed) |
| Yeimar Mosquera | Vitoria SC | Kiasi hakijawekwa wazi (Undisclosed) |
| Sil Swinkels | Sheffield Wednesday | Kiasi hakijawekwa wazi (Undisclosed) |
| Thierry Katsukunya | Cardiff | Bure (Free Transfer) |
| Ronnie Hollingshead | King’s Lynn | Bure (Free Transfer) |
| Ewan Simpson | Airdrieonians | Bure (Free Transfer) |
| Junior Wilson | Birmingham | Bure (Free Transfer) |
| Sam Proctor | Shrewsbury | Mkopo (Loan) |
| Joe Gauci | Lincoln | Mkopo (Loan) |
| Andres Garcia | Getafe | Mkopo (Loan) |
| Zepiqueno Redmond | Annecy | Mkopo (Loan) |
| Kadan Young | Annecy | Mkopo (Loan) |
| Oliwier Zych | Vitoria SC | Mkopo (Loan) |
Wachezaji walioachwa (Released)
| Mchezaji | Hali ya Mkataba |
| Elijah Briscoe | Ameachwa huru |
| I-Lani Edwards | Ameachwa huru |
| Jacob Green | Ameachwa huru |
| Max Lott | Ameachwa huru |
| Calum Moreland | Ameachwa huru |
| Charlie Pavey | Ameachwa huru |
| Cole Ramsey | Ameachwa huru |
| Kerr Smith | Ameachwa huru |
Manchester United
Wachezaji wapya
| Mchezaji | Alikotoka | Ada ya Uhamisho / Aina ya Usajili |
| Andrey Santos | Chelsea | £50m |
| Youri Tielemans | Aston Villa | £35m |
| Tynan Thompson | Tottenham | £8m |
| Kit Margetson | Swansea | Fidia (Compensation) |
| Karl Darlow | Leeds | Bure (Free Transfer) |
Wachezaji walioondoka
| Mchezaji | Alienda Klabu Gani | Ada ya Uhamisho / Aina ya Usajili |
| Rasmus Hojlund | Napoli | £38m |
| Tyler Fredricson | Lausanne-Sport | Kiasi hakijawekwa wazi (Undisclosed) |
| James Bailey | Stockport | Bure (Free Transfer) |
| Casemiro | Inter Miami | Bure (Free Transfer) |
| Sekou Kone | Lausanne-Sport | Mkopo (Loan) |
| Andre Onana | Trabzonspor | Mkopo (Loan) |
| Elyh Harrison | Morton | Mkopo (Loan) |
Wachezaji Walioachwa (Released)
| Mchezaji | Hali ya Mkataba |
| Tyrell Malacia | Ameachwa huru |
| Jadon Sancho | Ameachwa huru |
| Sonny Aljofree | Ameachwa huru |



