Matokeo ya Yanga SCMudathir Yahya (-)

Matokeo ya Yanga SC NBC Premier League 2025/26 kwenye mechi 25 imepata ushindi mechi 18, sare 6 na imepoteza mchezo mmoja. Yanga SC 3-1 Namungo FC, Uwanja wa KMC Complex mchezo uliopita hivi punde. Ushindi mkubwa ni dhidi ya Mbeya City wakifunga magoli 6-0. Wananchi bado wanaongoza kileleni wakiwa na pointi 60.

SOMA HII: Dodoma Jiji FC (3) vs Yanga SC (2) matokeo ya NBC Premier League | Unbeaten imevunjwa Airtel, highligts | SportPesa Blog

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege.

SportPesa Aviator Challenge

Tazama matokeo ya Yanga SC NBC Premier League, wafungaji magoli yote 2025/26

Matokeo ya Yanga SC NBC
Allan Okello vs Namungo NBC Premier League

SportPesa Blog tumekuletea matokeo ya Yanga SC NBC Premier League na wafungaji magoli yote 2025/26. Kwa mujibu wa rekodi za ligi kinara kwa ufungaji ni Allen Okello kwa wananchi amefunga 11. Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe anafuata akiwa na magoli 9.

TareheTimu (H)MatokeoTimu (A)
Aprili 16, 2026Yanga SC6-0Mbeya City
Aprili 8, 2026Pamba Jiji FC0-3Yanga SC
Aprili 4, 2026Yanga SC3-0Tanzania Prisons
March 21, 2026Mtibwa Sugar1-1Yanga SC
March 18, 2026TRA United0-0Yanga SC
March 15, 2026Azam FC0-0Yanga SC
March 12, 2026Tanzania Prisons0-1Yanga SC
March 5, 2026Singida Black Stars0-3Yanga SC
March 1, 2026Yanga SC0-0Simba SC
Feb 25, 2026Yanga SC5-0JKT Tanzania
Feb 22, 2026Namungo FC0-1Yanga SC
Jan 27, 2026Yanga SC3-1Dodoma Jiji
Jan 19, 2026Yanga SC6-0Mashujaa
Dec 7, 2025Coastal Union0-1Yanga SC
Dec 4, 2025Yanga SC2-0Fountain Gate
Nov 9, 2025Yanga SC4-1KMC
Okt 28, 2025Yanga SC2-0Mtibwa Sugar
Sep 30, 2025Mbeya City0-0Yanga SC
Sep 24, 2025Yanga SC3-0Pamba Jiji FC
Mei 3, 2026Simba SC2-2Yanga SC
Mei 6, 2026KMC FC0-1Yanga SC
Mei 9, 2026Yanga SC3-0Coastal Union
Mei 13, 2026Dodoma Jiji FC3-2Yanga SC
Mei 22, 2026Yanga SC3-0Singida Black Stars
Mei 25, 2026Yanga SC3-1Namungo FC

Orodha ya wachezaji waliofunga na kutoa pasi za magoli

Matokeo ya Yanga SC NBC
Bakari Nondo nahodha wa Yanga SC.

SOMA HII: TRA United yaibana mbavu Yanga SC NBC Premier League/ Highlights, statics, standings

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Wachezaji waliosajiliwa dirisha dogo Yanga SC wamekuwa na kasi katika ufungaji baadhi yao. Allan Okello na Depu. Beki Bakari Nondo yeye amefunga goli moja katika Kariakoo Dabi. Wakati ubao ukisoma Simba SC 2-2 Yanga SC, goli la pointi moja lilifungwa na Nondo, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.

MchezajiMagoliAsisti
Allan Okello117
Prince Dube93
Mudathir Yahya82
Pacom Zouzoua74
Laurindo Depu62
Maxi Nzengeli55
Mohamed Hussein31
Andy Boyeli2
Duke Abuya26
Lassine Kouma1
Mohamed Damaro1
Shekhani Hamis11
Celestin Ecua11
Bakari Nondo Mwamnyeto1

Orodha ya wachezaji waliota asisti ndani ya kikosi cha Yanga SC

MchezajiAsisti
Israel Mwenda4
Yao Kouassi1
Emma Mengo1
Kibwana Shomari1
Dickson Job1
Buba Jammeh1
Edmund John1

SOMA HII: Simba SC 2-2 Yanga SC: Matukio 6 ya ajabu yaliyotokea, NBC Premier League, matokeo na Takwimu | SportPesa Blog

Hitimisho

Matokeo ya Yanga SC NBC Premier League 2025/26 weka mbali na watoto kutokana na timu hiyo kuwa ngumu kuangusha pointi 3. Mchezo mmoja pekee imepoteza dhidi ya Dodoma Jiji FC, ugenini. Inapambana kutetea taji la Ligi Kuu Bara mwisho wa msimu. Endelea kufuatilia Blog ya SportPesa kwa matokeo ya hivi punde na taarifa zaidi.

Share this: