NBC Premier League ratiba 2025/26 ApriliAzam FC (-)
  • Yanga SC vs Tanzania Prisons, mzunguko wa 18 ni Aprili 4, 2026, Tanzania Premier League
  • NBC Premier League ratiba 2025/26 Aprili ni moto wakuotea mbali
  • Azam FC vs Simba SC itapigwa Aprili 5, 2026 Uwanja wa Azam Complex, Dar
  • Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate, Uwanja wa Airtel, Aprili 3, 2026

NBC Premier League ratiba 2025/26 Aprili mzunguko wa 18. Vigogo wote kazini kusaka pointi tatu muhimu. Yanga SC vs Tanzania Prisons ni Aprili 4, 2026 Jumamosi. Azam FC vs Simba SC ni Jumapili, Aprili 5.

SOMA HII: Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2025/26 ni moto | Msimamo, Mzizima Dabi, Kariakoo Dabi

Je bado haujashinda mamilioni ya SportPesa?

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapa chini.

image

NBC Premier League ratiba 2025/26 Aprili ni moto

NBC Premier League ratiba 2025/26 Aprili
Moalin kocha msaidizi Yanga SC na SureBoy mazoezini. Source: Yanga SC.

NBC Premier League ratiba 2025/26 Aprili bandika bandua. Simba SC, Yanga SC, Azam FC waliopo tatu bora kazini. Kuna Dar Mzizima Dabi inasubiriwa Aprili 5. Ikumbukwe kwamba mzunguko wa kwanza ilikuwa Simba SC 0-2 Azam FC.

Wiki ya 18 NBC Premier League ratiba 2025/26 hii hapa

TareheTimu mwenyeji Timu mgeniUwanja na muda
Aprili 3,2026Dodoma Jiji FCvsFountain GateAirtel, Singida saa 08:00 mchana
Aprili 3,2026Mbeya CityvsKMCTanzanite Kwaraa, Manyara, saa 10:15 jioni
Aprili 4, 2026Mashujaa FCvsPamba JijiLake Tanganyika, saa 10:00 jioni
Aprili 4, 2026Yanga SCvsTanzania PrisonsKMC Complex, saa 12:30 jioni
Aprili 4, 2026Namungo FCvsJKT TanzaniaMajaliwa, saa 9:00 usiku
Aprili 5, 2026TRA UnitedvsSingida B.SSheikh Amri Abeid, saa 10:00 jioni
Aprili 5, 2026Azam FCvsSimba SCAzam Complex, saa 1:00, usiku
Aprili 6, 2026Coastal UnionvsMtibwa SugarMkwakwani,Saa 1:00 usiku
NBC Premier League ratiba 2025/26 Aprili
Kibabage Nickson beki wa Simba SC mchezo vs Mashujaa FC. Source: Simba SC.

SOMA HII: Tanzania Prisons 0-1 Yanga SC NBC Premier League/ Highlights, goal, statics

image

Msimamo wa NBC Premier League 2025/26

POSMPWDLPTS
1.Yanga SC16115038
2.Simba SC1494131
3. Azam FC1578029
4. JKT Tanzania1777328
5.Pamba Jiji FC1667325
6.Singida Black Stars1574425
7.Mtibwa Sugar1757522
8.Namungo FC1756621
9.Dodoma Jiji FC1756621
10.TRA United SC1655620
11.Mashujaa FC1747619
12.Fountain Gate FC1644816
13.Coastal Union1636715
14.Mbeya City1634913
15.Tanzania Prisons17341013
16. KMC FC1622128

SOMA HII: Simba SC 3-0 TRA United highlights, H2H, standings, twakimu | Matokeo ya NBC Premier League

image

Hitimisho

NBC Premier League ratiba 2025/26 Aprili vigogo wanaendelea walipoishia. Mabingwa watetezi ni Yanga SC wanaongoza ligi watawakaribisha Tanzania Prisons. KMC FC inaburuza mkia ipo katika hatari kushuka daraja itakuwa ugenini. Matokeo na ratiba zote utazipata hapa.

Share this: