- HT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC NBC Premier League
- Azam FC wamepiga jumla ya mashuti 5 ambayo hayajalenga lango la wapinzani
- Feisal Salum amewekwa chini ya uangalizi mkali na mabeki wa Mashujaa FC
Mashujaa FC 0-0 Azam FC dakika 45 za mwanzo. Wababe hawa wapo Uwanja wa Lake Tanganyika leo Machi 19,2026. Timu zote mbili zinakwenda mapumziko zikiwa hazijafungana, dakika 45 za kipindi cha pili zitaamua nani atashinda ama watagawana pointi.
SOMA HII: Azam yawabadilishia Uwanja Yanga Sc | Na ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania imebadilika
Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Rekodi za Mashujaa FC 0-0 Azam FC

| Mashujaa FC | Azam FC | |
| 3 | Mashuti | 5 |
| 1 | Lenga lango | 0 |
| 43% | Umiliki | 57% |
| 2 | Mashuti yasiyolenga lango | 6 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 0 | Kadi ya njano | 1 |
| 2 | Kona | 4 |
| 0 | Magoli | 0 |
HT: Msimamo wa Mashujaa FC vs Azam FC
| POS | MP | W | D | L | PTS |
| 2. Azam FC | 15 | 7 | 8 | 0 | 29 |
| 11. Mashujaa FC | 17 | 4 | 7 | 6 | 19 |
Kikosi cha Mashujaa FC vs Azam FC
Langoni ni Patrick Munthali.
Wachezaji wengine ni Baraka Mtuwi, Samweli Onditi, Samsoni Madeleke, Abdulnasir Assa, Mgandila Shaban, Mpoki Mwakinyuke, Mohamed Mussa, Salum Kihimbwa, Ismail Mgunda na Crispin Ngushi.
Wachezaji wa akiba
Hassan Haji, Nyerezi Shaban, Jaffar Kibaya, Seleman Bwenzi,Frank Magingi, David Uromi, Lameck Kanyonga, Mikaidad Ally na Baraka Charles.
Kikosi cha Azam FC vs Mashujaa FC

Aishi Manula mlinda mlango wa Azam FC ameanza kikosi cha kwanza ambacho kitawakabili Mashujaa FC leo, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
Wachezaji wengine ni Himid Mao, Sadio Kanoute, Twalibu Nuru, Lusajo Mwaikenda, Pascal Msindo, Zidane Sereri, Feisal Salum, Ashrafu Kibeku, Lameck Lawi, Idd Nondo.
Wachezaji wa akiba
Abah Abel, James Akaminko, Jean Ngita, Yeison Fuentes, Diakite, Landry Zouzou, Jeremiah Kitambala,Yoro Diaby na Alobogast Charles.
SOMA HII: Aishi Manula amesaini mkataba kuitumikia Azam FC akitokea Simba SC | Rekodi zake na tuzo


