Taarifa mpya Tanzania Prisons vs Yanga SC zinaeleza kuwa timu zote zimewasili Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Awali kulikuwa na mkanganyiko kuhusu uwanja ambapo Prisons taarifa ya awali waliuchagua Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Taarifa rasmi kutoka Bodi ya Ligi ilieleza mchezo utachezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
SOMA HII: Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDB Federation Cup kituo kinachofuata Mbeya/ Ratiba na msimamo
Bado hujashinda? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Taarifa mpya Tanzania Prisons vs Yanga SC

Kutoka Dodoma, taarifa mpya Tanzania Prisons vs Yanga SC timu zote mbili zimewasili uwanjani. Ni suala la muda nani atavuna pointi tatu muhimu. Wananchi ni vinara wanatetea taji hilo kwa msimu wa 2025/26. Wajelajela wapo kwenye hatari yakushuka daraja.
Tanzania Prisons nafasi ya 15 ikiwa na pointi 13 baada ya mechi 15. Inakutana na Yanga SC iliyo nafasi ya kwanza na pointi 32 baada ya mechi 12. Wananchi hawajapoteza mchezo ndani ya NBC Premier League.
Kikosi cha Tanzania Prisons vs Yanga SC
Langoni ni Mussa Mbissa
Lambart Sabiyanka
Doto Shaban
Jeremia Juma
Marco Mhilu
Michael Mutinda
Wema Sadoki
Salum Kimenya
Maurince Owino
George Mpole
Haruni Chanongo
Wachezaji wa akiba
Emmanuel Martin, Never Kaboma,Kelvin Sagati, Heritier, Masoud Abdalah, Ramadhan Mwenda, Edward Mwakyusa, Samson Mbangula, Oscar Mwajanga na Idd Lugendo.
SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 ni moto/ Mechi 5 NBC Premier League ugenini/ Msimamo, matokeo

Kikosi cha Yanga SC vs Tanzania Prisons

Langoni
Djigui Diarra
Mabeki
Israel Mwenda
Zimbwe Jr
Nondo
Bacca
Viungo
Damaro
Abuya
Maxi
Mudathir
Okello
Mshambuliaji
Prince Dube.
Wachezaji wa akiba
Masalanga, Abubakari, Assink, Andabwile, Yao, Abdulnasir, Shekhan, Edmund, Bupa, Depu.

