Simba SC yajivunia uboraMwalimu S
  • Simba SC vs B19 FC, CRDB Federation Cup ratiba inayofuata kwa mnyama hatua ya 32 bora
  • Simba SC yajivunia ubora wa kikosi, Ahmed Ally aunguruma kuhusu mipango ijayo
  • Yanga SC 0-0 Simba SC mechi ya 17 tangu 2017 kwa wababe hawa
  • Ratiba ya Machi kwa Simba SC tumekosogezea hapa

Simba SC yajivunia ubora wa kikosi hicho kuelekea kwenye mechi zijazo za ushindani. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano unyamani ametoa rai kwa mashabiki kuendeleza umoja. Ni wazi Machi Mosi 2026, Kariakoo Dabi matokeo Yanga SC 0-0 Simba SC.

SOMA HII: Fulltime: Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League/Highlights, stats, standings

Bado hujashinda mamilioni ya SportPesa?

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

aviator

Simba SC yajivunia ubora wa kikosi, sikia tambo za Ahmed Ally

Simba SC yajivunia ubora
Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC. Source: Simba SC.

Ipo wazi Simba SC yajivunia ubora wa kikosi mara baada ya kuvuna alama moja mbele ya Yanga SC. Rekodi zinaonyesha. Mnyama kwenye mechi 6 mfululizo za ligi alipotezan Kipigo kikubwa ilikuwa Simba SC 1-5 Yanga SC.

Ahmed amesema licha yakushindwa kupata matokeo bado wachezaji walijituma. Aliongeza kuwa kuna kazi kubwa inafanyika kuhakikisha wanakuwa na mwendelezo mzuri.

“Kikosi kinazidi kuimarika, wachezaji wanajituma kwenye mechi zetu. Naomba nitoe rai kwa mashabiki kuendeleza mshikamano huu katika mechi zijazo. Kwa namna tunavyocheza tunazidi kuwa imara zaidi,” alisema Ahmed.

H2H Yanga SC vs Simba SC 2017-2026

Vita ya wachezaji Yanga SC vs Simba SC
Yanga SC vs Simba SC.
Yanga SC Simba SC
17Mechi17
6Ushindi3
8Sare8
17Mabao yakufunga11
3Kupoteza6
7Mechi bila kuruhusu goli6
42Kadi ya njano48
1Kadi nyekundu0

Simba SC imepoteza mchezo mmoja

Msimu wa 2025/26 Simba SC ndani ya Ligi Kuu ya NBC imepoteza mchezo mmoja. Ilikuwa ni dhidi ya Azam FC uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 7,2025. Imekusanya sare 3 kibindoni.

Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba SC 0-2 Azam FC. Mzizima Dabi ikawazima wenyeji. Ni mechi 11 mnyama ameshuka uwanjani akishinda 7. Nafasi ya 3 na pointi 24 kwenye msimamo wa ligi.

SOMA HII: Yanga SC 0-0 Simba SC: Semaji Ahmed, Ali Kamwe watoa matamko mazito kumhusu Refa wa Kariakoo dabi, matokeo, msimamo

aviator

Msimamo Yanga SC vs Simba SC

 MPWDLPTS
Yanga SC1192029
3. Simba SC1173124

Ratiba ya mechi za Simba SC

Machi 7 2026, Simba SC vs B19 FC, CRDB Federation Cup

Machi 11 2026, Singida Black Stars vs Simba SC, NBC Premier League

Machi 14,2026, TRA United vs Simba SC, NBC

Machi 19,2026, Pamba Jiji FC vs Simba SC, NBC

Machi 22,2026, Simba SC vs TRA United, NBC

SOMA HII: Yanga SC 2-0 Simba SC mchezo wa Kariakoo Dabi/ Bingwa 2024/25/ Pacome balaa

aviator

Hitimisho

Simba SC yajivunia ubora wa kikosi msimu wa 2025/26. Kituo kinachofuata ni Machi 7 2026, Simba SC vs B19 FC, CRDB Federation Cup. Huo ni mchezo wa 32 bora, timu itakayofungwa inafungashiwa virago jumla.

Share this: