Depu CAFDepu CAF
  • Depu na Boka wa’ngara Yanga SC ikivuna pointi 3 Uwanja wa New Amaan Complex
  • Yanga SC 3-0 JS Kabylie CAF Champions League Februari 15 2026
  • Usajili wa Depu wajibu kwa vitendo uwanjani anga la kimataifa
  • Al Ahly 0-0 AS Far Rabat zatibua hesabu za wananchi kimataifa

Yanga SC 3-0 JS Kabylie ni matokeo rasmi mchezo wa CAF Champions League Februari 15 2026. Depu alifunga magoli mawili Uwanja wa New Amaan Complex dakika ya 35 na 64 na Boka alifunga goli moja dakika ya 66. Licha ya ushindi huo Yanga SC haijafuzu hatua ya makundi ni Al Ahly na AS Far Rabat zimesonga mbele kundi B.

SOMA HII: Matokeo ya Yanga SC CAF Champions League 2025/26/ Standings, fixture

Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Yanga SC 3-0 JS Kabylie CAF Champions League mchezo wa funga kazi

Depu goal CAF
Depu, Dube na Maxi kwenye mchezo wa CAF.Source: Yanga SC

Yanga SC 3-0 JS Kabylie, CAF Champions League ulikuwa ni mchezo wa funga kazi. Wananchi walikuwa wanahitaji ushindi huku wakisubiri matokeo ya Al Ahly vs AS Far Rabat. Kama AS Far Rabat angepoteza dhidi ya Al Ahly malengo yao yangetimia.

Al Ahly 0-0 AS Far Rabat ni matokeo yaliyotibua mipango ya Yanga SC. Kwenye kundi wamemaliza wakiwa na pointi 8 huku AS Far Rabat wakiwa na pointi 9. Kwa kigezo hicho Wananchi wameishia hatua ya makundi.

SOMA HII: Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions’ League group stage January 31/ Highlights, goal

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Msimamo wa kundi B

 MPWDLPTS
1. Al Ahly624010
2. AS Far62319
3. Yanga SC62228
4.Kabylie60333

Matokeo ya Yanga SC CAF Champions League

AS Far Rabat 1-0 Yanga SC CAF Champions League
Mudathir Yahya vs AS Far mchezo wa CAF Champions League. Source: Yanga SC.

22/11/2025  Yanga SC        1      0      AS Far Rabat

28/11/2025 JS Kabylie 0      0      Yanga SC

23/01/2026 Al Ahly    2      0      Yanga SC

31/01/2026 Yanga SC 1      1      Al Ahly

07/02/2026    AS Far Rabat      1          0          Yanga SC

15/02/2026 Yanga SC 3 0 JS Kabylie

Hitimisho

Yanga SC 3-0 JS Kabylie, CAF Champions League ni mchezo wa mwisho 2025/26 hatua ya makundi. Kutoka kundi B nit imu mbili zinasonga mbele Al Ahly na AS Far Rabat. Yanga SC na JS Kabylie mwendo wameumaliza.

Share this: