- Mambo yanazidi kupamba moto huko Morocco. Ni mwendelezo wa mashindano ya AFCON 2025.
- Mashindano hayo yameingia katika mzunguko wa 2.
- AFCON 2025 Match round 1 (Mzunguko wa kwanza), umekamilika baadhi ya wachezaji wakianza vizuri kwa kuonyesha viwango vikubwa.
- Makala hii inakuletea listi ya mastaa wote walioshinda tuzo za mchezaji bora kwa mzunguko wa kwanza.
Mambo yanazidi kupamba moto huko Morocco. Ni mwendelezo wa mashindano ya AFCON 2025, ambayo yameingia katika mzunguko wa 2. AFCON 2025 Match round 1 (Mzunguko wa kwanza), umekamilika huku baadhi ya wachezaji wakianza vizuri kwa kuonyesha viwango vikubwa. Makala hii inakuletea listi ya mastaa wote walioshinda tuzo za mchezaji bora kwa mzunguko wa kwanza.
SOMA HII PIA: AFCON 2025 Mahrez, Jackson, Achouri watikisa: Hawa hapa wafungaji bora wa Raundi ya 1
Hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

AFCON 2025 Match round 1 washindi tuzo za mchezaji bora wa mechi
Côte d’Ivoire 1-0 Mozambique

24 December 2025
Uwanja: Grand Stade de Marrakech
Amad Diallo
Algeria 3-0 Sudan

December 24, 2025
Uwanja: Moulay Hassan Stadium
Riyad Mahrez
Burkina Faso vs Equatorial Guinea
December 24, 2025
Uwanja: Mohammed V Stadium
Edmond Tapsoba
SOMA HII ZAIDI: Afcon 2025: Hawa hapa wachezaji 10 wanaolipwa pesa nyingi
Tunisia – Uganda

December 23, 2025
Uwanja: Stade Olympique
EliasAchouri
Nigeria -Tanzania

December 23, 2025
Uwanja: Compexe Sportif de Fès
Semi Ajayi
Senegal vs Botswana

December 23, 2025
Uwanja: Grand Stade de Tanger
Nicholas Jackson
DR Congo vs Benin

December 23, 2025
Uwanja: Al Madina
Théo Bongonda
Egypt vs Zimbabwe

December 22, 2025
Uwanja: Grand Stade d’Agadir
Omar Marmoush
South Africa vs Angola

Décembre 22, 2025
Uwanja: Grande Stade de Marrakech
Lyle Foster
Mali vs Zambia

December 22, 2025
Uwanja: Mohammed V Stadium
Lassine Sinayoko
Morocco vs Comoros

December 21, 2025
Uwanja: Stade Moulay Abdellah
Brahim Díaz

