- African Cup of Nations inazidi kupasua anga nchini Morocco kwa timu kusaka ushindi uwanjani.
- Nigeria 2-1 Tanzania AFCON 2025 kutoka kundi C mchezo wa kwanza.
- DR Congo 1-0 Benin, Senegal 3-0 Botswana
Nigeria 2-1 Tanzania AFCON 2025 ni matokeo rasmi mchezo wa hatua ya makundi ikiwa ni kundi C. Katika Uwanja wa Fes Sports Complex wababe hawa wawili walikuwa wakipambania ushindi. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Tanzania iliyo kundi C imebakiwa na mechi mbili.
SOMA HII: Afcon 2025: Hawa hapa wachezaji 10 wanaolipwa pesa nyingi
Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Nigeria 2-1 Tanzania AFCON 2025, Zuber Foba kwenye lango la Tanzania

Wakati ubao ukisoma Nigeria 2-1 Tanzania AFCON 2025, mlinda mlango Zuber Foba alikuwa langoni kwa Stars. Hii ilitokana na kipa namba moja Yakoub Suleman kupata maumivu. Kipa huyo alionyesha umakini kwenye kutimiza majukumu licha ya Tanzania kupoteza.
Magoli ya mchezo wafungaji
Kwa upande wa Nigeria ni Semi Ajay dakika ya 36
Ademoola Lookman dakika ya 52.
Goli la Tanzania limefungwa na Charlse M’mombwa dakika ya 50.
Kikosi cha timu ya taifa ya Nigeria vs Tanzania
Nwabali, Osayi-Samuel, Sanusi, Ndidi, Ajayi, Lookman, Osimhen, Chukwueze, Iwobi, Bassey, Adams
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania vs Nigeria

Zuberi Foba, Shomari Kapombe, Mohamed Hussen, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Novatus Miroshi.
Alphonce Mabula, Saimon Msuva, Charles M’Mombwa, Mbwana Samatta, Tarryn Allakarakhia.
Wachezaji wa akiba
Hussen Masalanga, Pascal Msindo, Dickson Job, Nickson Kibabage, Iddi Nado, Kibu Dennis, Wilson Nangu, Morice Abraham, Lusajo Mwaikenda, Kelvin John, Yusuph Kagoma, Kelvin Nashon, Haji Mnoga.
SOMA HII: AFCON 2025 Morocco 2-0 Comoros/ Highlights, goals, fixtures

Matokeo ya mechi nyingine
Dr Congo 1-0 Benin
Theo Bongoda goli dakika ya 16
Senegal 3-0 Botswana magoli yamefungwa na Nicolas Jackson dakika ya 40 na 58
Cherif Ndiaye dakika ya 90.
Hitimisho
Nigeria 2-1 Tanzania AFCON 2025 karata ya kwanza kwa Tanzania kati ya zile tatu. Mechi mbili mkononi zimebaki katika kusaka hatua ya robo fainali. Nigeria wanaongoza kundi wakiwa na pointi 3 huku Tanzania ikiwa haijavuna pointi.

