SportPesa-Goal-Rush-Washindi-wa-wikiSportPesa-Goal-Rush-Washindi-wa-wiki

SportPesa kupitia mchezo wa Goal Rush, umezidi kutoa mamilioni ya ushindi wiki hii, ambapo kila siku Watanzania wametabasamu.

Dau kubwa la ushindi wa shilingi Millioni 100, bado lipo ambapo mshiriki anaweza kushinda.

SportPesa Goal Rush Washindi 16-22 Novemba 2025 wiki hii wachezaji wengi zaidi wameshiriki na washindi wameshinda mamilioni.

Nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa furaha imezidi kumwagika kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush. Kwa wiki hii tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya 16-20 Novemba 2025. Hii ni kupitia ubashiri wa kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa, watu wameendelea kushinda mamilioni. Tumeshuhudia msisimko wa soka, ukiendelea mara baada ya ligi mbalimbali kurejea, huku mashabiki wetu wakithibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.

SOMA HII PIA: SportPesa Goal Rush washindi 04-10 Oktoba, 2025 hawa hapa

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Kumbuka unaweza kuwa mshindi mpya wa mamilioni ya SportPesa muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kucheza kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

image

SportPesa Goal Rush ni nini?

Kumbuka mchezo wa Goal Rush ni mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka ambao unazidi kuwa maarufu nchini Tanzania. Mchezo huu unahitaji kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Mashindano ya wiki hii yameleta changamoto mpya na washindi walionyesha uwezo wao kwa kubashiri matokeo sahihi.

SOMA HII PIA: Kijana wa Miaka 23 Ajinyakulia TZS 100,000,000 ya Sportpesa Goal Rush!

SportPesa Goal Rush washindi 16-22 Novemba 2025 wanapata zawadi gani?

Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya fedha kuanzia maelfu hadi mamilioni ya shilingi kila siku, huku zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa wewe?

Jumamosi: Shamrashamra Saturday

GR-Shamra-Shamra-Saturday---nd-Nov

Jumapili: Vibe la Sunday

GR-Vibe-La-Sunday---th-Nov

Jumatatu: Mkwanja Monday

GR-Mkwanja-Monday---th-Nov

Jumanne: Tajiri Tuesday

GR-Tajiri-Tuesday---th-Nov

Jumatano: Zali Day Wednesday

GR-Zali-Wednes-Day---th-Nov

Alhamisi: Maokoto Thursday

GR-Maokoto-Thursday---th-Nov---
GR-Maokoto-Thursday---th-Nov---
GR-Maokoto-Thursday---th-Nov---
GR-Maokoto-Thursday---th-Nov---

Ijumaa: Faidika Friday

GR-Faidika-Friday---st-Nov---
SportPesa Goal Rush washindi 16-22 Novemba

Wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea SportPesa Goal Rush washindi 04-10 Oktoba 2025 mambo ni moto! Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!

SOMA HII ZAIDI: SportPesa Goal Rush washindi 28 Septemba – 04 Oktoba 2025 hawa hapa

Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri

SportPesa ushindi upo nawe !!

SOMA HII PIA: SportPesa Goal Rush washindi Septemba 7-12, 2025 hawa hapa

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.