Yanga SC vs AS FAR Rabat CAF Champions League ni leo Novemba 22Pacome Znz
  • Siku ya mechi kundi B saa 10:00 jioni Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar hatua ya makundi.
  • Yanga SC vs AS FAR Rabat CAF Champions League ni leo Novemba 22, 2025 mchezo wa kwanza.
  • Wananchi kwenye kibarua kuwakabili Waarabu wa Morocco kutafuta pointi tatu muhimu.

Yanga SC vs AS FAR Rabat CAF Champions League ni leo Novemba 22,2025. Wababe hawa wawili watakuwa Uwanja wa New Amaan Complex saa 10:00 jioni. Timu zote mbili ni imara kwenye kufunga rekodi zinaonyesha kwenye mechi 7, Yanga SC ilifunga magoli 13 huku AS FAR Rabat ikifunga jumla ya magoli 15 katika mechi za hivi karibuni.

SOMA HII: Yanga SC vs AS FAR CAF 22/11/2025: Live Score, H2H, vikosi, takwimu, Habari za timu

Cheza sasa ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Bado hujashinda na SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

Yanga SC vs AS FAR Rabat CAF Champions League ni leo Novemba 22,2025 kusubiri inatosha

Baada ya kusubiri hatimaye Yanga SC vs AS FAR Rabat CAF Champions League ni leo Novemba 22. Kusubiri inatosha wanaume watakuwa uwanjani. Huu ni mchezo wa kwanza hatua ya makundi kusaka tiketi ya kutinga robo fainali.

Yanga SC vs AS FAR Rabat CAF Champions League ni leo Novemba 22
Maxi kiungo wa Yanga SC. Source: Yanga SC.

Matokeo ya mechi 7 zilizopita za Yanga SC

Septemba 27,2025, Yanga SC 2-0 Wiliette SC, (Ligi ya Mabingwa Afrika)

Septemba 24,2025 – Yanga SC 3-0 Pamba Jiji.(Ligi ya NBC)

Septemba 30,2025-Mbeya City 0-0 Yanga SC (Ligi ya NBC).

Silver Strikers FC 1-0 Yanga SC CAF Champions League, Oktoba 18, 2025 Uwanja wa Bingu, Malawi.

Yanga SC 2-0 Silver Strikers FC, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 25, 2025

Yanga SC 2-0 Mtibwa Sugar, Oktoba 28 2025, Uwanja wa KMC, Complex.

Yanga SC 4-1 KMC FC, Novemba 9,2025, Uwanja wa KMC Complex.

Katika mechi 7 magoli 13 safu ya ushambuliaji ilifunga. Ukuta uliruhusu kufungwa magoli mawili. Ushindi kwenye mechi 5, ilipoteza mchezo mmoja na sare moja.

SOMA HII: Yanga SC vs AS FAR 22/11/2025: Kazi imeanza, Wananchi watoa tamko zito

image

Watambue wapinzani wa Yanga SC kwa rekodi

Wapinzani wa Yanga SC katika mechi 7 zilizopita hawajapoteza. Ushindi ni kwenye mechi 5 wakiambulia sare katika mchezo mmoja. Safu yao ya ushambuliaji inaonekana kuwa hatari kutokana na mwendo wa magoli wanayofunga ambayo ni 15 na ile ya ulinzi imeruhusu kufungwa goli 1.

Matokeo ya AS FAR Rabat mechi 7 zilizopita

FAR Rabat
FAR Rabat wapinzani wa Yanga SC. Source: FAR Rabat.

09/11/2025, AS FAR Rabat 0-0 Maghreb Fes
06/11/2025, AS FAR Rabat 1-0 FUS Rabat
02/11/2025, El Jadida 0-4 AS FAR Rabat
29/10/2025, AS FAR Rabat 3-0 Hassania Agadir
25/10/2025, AS FAR Rabat 3-0 Horoya AC, CAF Champions League
19/10/2025, Horoya AC 1-1 AS FAR Rabat, CAF Champions League
05/10/2025, Olympique Safi 0-3 AS FAR Rabat

Ratiba ya mechi za Yanga SC, CAF Champions League

Yanga SC vs AS FAR Rabat Novemba 22, 2025

JS Kabylie vs Yanga SC inatarajiwa kuchezwa Novemba 28, 2025

Al Ahly vs Yanga SC inatarajiwa kuchezwa Januari 23, 2026

Yanga SC vs Al Ahly inatarajiwa kuchezwa Januari 30, 2026.

AS FAR vs Yanga SC inatarajiwa kuchezwa 6, Februari 2026.

Yanga SC vs JS Kabylie inatarajiwa kuchezwa Februari 13,2026.

Ratiba na matokeo hatua ya makundi CAF Champions Leagues

Novemba 21,2025

Al Hilal Omdurman 2-1 MC Alger, Uwanja wa Amahoro, Kigali.

Novemba 22,2025

Yanga SC vs AS Far Rabat
Mamelodi Sundowns vs St Eloi Lupopo
Al Ahly SC vs JS Kabylie
Esperance ST vs Stade
RSB vs Power Dynamos
Pyramids vs Rivers

Novemba 23,2025
Simba SC vs Petro de Luanda

Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Al Ahly
Al Ahly kwenye maandalizi CAF Champions League. Source: Al Ahly.

Kundi A

RS Berkane kutoka Morocco

Pyramids FC kutoka Misri

Rivers United kutoka Nigeria

Power Dynamos kutoka Zambia

Kundi B

Al Ahly ya Misri

AS FAR Rabat ya Morocco

JS Kabylie ya Algeria

Yanga SC ya Tanzania

Kundi C

Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini

Al Hilal kutoka Sudan

MC Alger kutoka Algeria

St Eloi Lupopo ya Congo

Kundi D

ES Tunis ya Tunisia

Simba SC kutoka Tanzania

Petro Luanda ya Angola

Stade Malien ya Mali

SOMA HII: Al Hilal Omdurman vs MC Alger CAF Champions League Novemba 21,2025/ H2H, Live score, lineups, stats, fixture

image

Hitimisho

Yanga SC vs AS FAR Rabat CAF Champions League ni leo Novemba 22 mshindi atafahamika. Kundi hili linaitwa la kifo kutokana na ugumu wa timu zilizopo. Timu mbili zitakazokusanya pointi nyingi zitafuzu hatua inayofuata ya robo fainali.

Share this: