
Goal Rush -Weekly Winners-Banner (-)
- Wiki hii kumekuweko wachezaji mamilioni, na washindi wamepata 200,000 kila siku.
- Kuna pato kubwa ambalo ni shilingi millioni mia moja, ambalo unaweza kushinda.
- Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 100 Ingia katika SportPesa na ucheze Goal Rush.

Huku msimu wa soka 2024/25 ukielekea ukingoni, kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush watu wameendelea kushinda mamilioni, ambapo hawa hapa ni washindi wa wiki iliyomalizika yaani kuanzia Aprili 12-18, 2025.
SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush watu wameendelea kujishindia mamilioni kwa kishindo katika wiki hii ya dabi.
Tumejionea msisimko wa soka ukiendelea na ubashiri wa kipekee kutoka kwa mashabiki wetu waliothibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.
Mchezo wa Goal Rush unazidi kuwa mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka nchini Tanzania, Mchezo huu ukitaka kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Mashindano ya wiki hii yameleta changamoto mpya na washindi walionyesha ustadi wao kwa kubashiri matokeo sahihi.
Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya Tsh 200,000/= kila siku, huku zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa wewe?
Jumamosi: SHAMRASHAMRA SATURDAY



Jumapili: VIBE LA SUNDAY



Jumatatu: MKWANJA MONDAY


Jumanne: TAJIRI TUESDAY





Jumatano: Zali Day Wednesday


Alhamisi: Maokoto Thurday


Ijumaa: Faidika Friday


Wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea ushindi wa wengine mambo ni moto! Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!
Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri
SportPesa ushindi upo nawe !!

