SportPesa Goal Rush -Weekly Winners.Goal Rush -Weekly Winners-Banner

SPORTPESA Goal Rush: Washindi wa Wiki

Karibu kwenye Muhtasari wa Washindi wa Wiki ya SPORTPESA Goal Rush, ambapo tunasherehekea wiki nzima ya msisimko wa soka na kuchambua utabiri wa ajabu uliofanikisha ushindi wa washindi wa wiki hii! Mchezo wa Goal Rush unajaribu akili na maarifa ya wapenzi wa soka nchini Tanzania kwa kuwataka watabiri ni timu gani itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili goli hilo litafungwa.

Goal Rush -Weekly Winners.
Goal Rush -Weekly Winners-Banner

Hii ndiyo orodha ya washindi wakubwa wa wiki nzima ambao walijishindia zawadi kila siku za kiasi cha Tsh 200,000/= Ikumbukwe kwamba zawadi ya juu kabisa ni kiasi kikubwa cha Tsh 100,000,000/= na hii itapatikana iwapo mchezaji wa GOAL RUSH akipatia matokeo yote katika seti tatu za mechi alizopewa.

Jumatatu: MKWANJA MONDAY

Jumatatu: Goal Rush

Goal Rush: Mshindi wa Jumatatu

Jumanne: TAJIRIKA TUESDAY

Tariji Tuesday: Goal Rush

Tariji wa Goal Rush

Jumatano: Zali Day Wednesday

Zali Day Wednesday

Zali Day

Alhamisi: Zali Day Maokoto Thurday

Artboard -

Maokoto Day
 

Ijumaa: Faidika Friday

Faidika Friday

Faidika Friday

Je Unadhani una uwezo wa kujumuishwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Jiunge nasi kwa wiki nyingine ya msisimko wa Goal Rush na onyesha uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!

Kila la heri, na endelea kucheza na timu yako ya ushindi SportPesa

SportPesa Ushindi Upo Nawe !!!

Share this: