AFKON Ushindi ni SportPesa
  • Washindi kuondoka na mkwanja kwenye simu zao kutoka SportPesa
  • Ni kwa mitandao yote ya simu.
  • Simu janja kwa washindi wa kila wiki.

Kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri, SportPesa leo asubuhi imezindua kampeni iitwayo “AFCON, USHINDI NI SPORTPESA”. Promosheni hii itawapa fursa wapenzi wa michezo, wateja wapya na wanaoendelea wa SportPesa kuingia kwenye droo baada ya kujisajili,kuweka fedha kwenye akaunti zao za SportPesa, na kisha kuweka bashiri zao.

“AFCON, USHINDI NI SPORTPESA” inawapa nafasi wateja wa SportPesa kujishindia zawadi za pesa, shilingi 5000 kwa watu 100 kila siku,  na simu janja kwa watu wa 3 kila wiki.

AFKON Ushindi ni SportPesa

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano SportPesa,Sabrina Msuya, alieleza kuwa, “ promosheni hii inampa nafasi kila wa SportPesa kujishindia zawadi hata kama atakosa matokeo ya bashiri zake, mteja akishaweka pesa kwenye akaunti yake ya SportPesa na kuweka bashiri yake moja kwa moja ataingia kwenye droo ya wiki.

Wateja wetu wana fursa ya kujishindia zawadi za kila siku TZS 5,000/-, zawadi za wiki washindi watatu wataweza kujinyakulia simu janja. Promosheni hii itadumu kwa siku 30.

Wateja wetu wanaweza kuweka bashiri kwenye matukio ya michezo ya ndani na nje ya nchi kupitia tovuti ya SportPesa, USSD, SMS, au APP.

Kampeni hii itadumu kwa siku 30, kuanzia 13 mwezi Januari hadi 11 mwezi Februari 2024.

Share this: