Mkazi wa Mwanza,wilaya ya Buchoswa, Jetcolver Kagodoro amebahatika kushinda kitita cha Sh 5,296,460, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 14 kati ya mechi 15, kama bonus ya Supajackpot kutoka SportPesa.
Akizungumza katika ofisi za SportPesa, Oyesterbay, Jijini Dar-es-Salaam, Kagodoro anasema alianza kucheza na SportPesa mwaka huu mwanzoni, na sikuwahi kubahtika kushinda kiasi kikubwa cha fedha, nilikuwa ninashinda hela ndogo ndogo.
‘’Mimi nilianza kucheza na SportPesa mwaka huu mwanzoni,na nilikuwa nikipita kwenye mitandao naona watu wameshinda, hivyo nikaanza kufwatilia,na niliwapigia huduma kwa wateja wakanipa maelekezo jinsi ya kujiunga ili niweze kucheza,na baada ya hapo nilianza kucheza na SportPesa, Sikuwahi kushinda kiasi kikubwa, nilikuwa nashinda kiasi kidogo, na leo hii nimefanikiwa kushinda kiasi hiki kikubwa”

Mara nyingi huwa supajackpot ikitoka napenda kupitia hizo timu, niziangalie pointi zilizopewa kisha naziandika pembeni, siku inayofwata pia huwa napenda kuzipitia pia ili kujua kama kuna mabadiliko yoyote ya timu zilizowekwa na pointi zake
‘’Unajua mimi nahakikisha nazipitia kwanza timu zote zilizowekwa kwenye supajckpot kabla sijaweka mkeka wangu, hiyo inanipa nafasi ya kuhakikisha kuwa mkeka ninaoenda kuuweka sitakosa ushindi.
Anaendelea kwa kusema hadi kufika jumamosi ninakuwa nimeangalia mikeka yote kisha baada ya hapo huwa naweka mikeka 3,ushindi huu kwake una umuhimu mkubwa sana, kwani kutoka kiwango cha Sh 1000,2000 na 3000 alichokizoea mpaka Mil 5,296,460 ni bahati kubwa kwake. ‘’Nafikiri huu ni mwanzo wa safari ya ushindi kwangu mimi. Ushindi huu umenipa hamasa ya kucheza Jackpot zote mbili za SportPesa kwa nguvu sana.
Kuhusu mkeka huu wa Jackpot ya kati kati ya wiki ulioshinda, Kagodoro anasema, kwa kawaida yeye huwa anaweka mikeka 3 ya Jackpot za SportPesa, kila wiki mingine mitatu.
Kwa mkeka huu wa ushindi niliweka mkeka siku ya Jumamosi, ambapo baada ya kuziona mechi nilichukua masaa kadhaa kabla ya kuuweka na kusubiria matokeo. Kwa namna ambavyo niko na presha, nikisha weka mkeka huwa siangalii au sifuatilii matokeo.

‘’Matokeo ya Jackpot bonus hii mimi wala sikuyafuatilia, sasa nilijuaje kama nimeshinda. Nilikuwa zangu nimetulia chumbani kwangu, ghafla sms ikaingia ikinipa hongera kuwa mimi ni mshindi wa supajackpot.
Nashukuru Mungu juhudi zangu japo kwa kiwango hichi zimefanya kazi na nimeweza kushinda za SupaJackpot bonus.
fedha hii itanisaidia kwenye biashara zangu ndogondogo na kunisaidia kuongeza ujuzi kwenye kipaji changucha kucheza mpira wa miguu.
Akimalizia kagodoro anawashukuru SportPesa kwa fursa ya SupaJackpot bonus kwani ni SportPesa pekee ambapo mchezaji anashinda hela tena nyingi hata kama hakushinda Jackpot yenyewe. ‘’Lazima niwe mkweli katika kutoa shukrani zangu.
Tangu nimeanza kubashiri na makampuni mbali mbali hakuna hata kampuni moja ambayo ina Jackpot inayofanana na hizi mbili za SportPesa. Maana yake ni kwamba SportPesa wametoa fursa kubwa sana kwa sisi wachezaji.
Jukumu letu ni moja tu, Kuweka pesa nakucheza!
Akimpongeza Kagodoro kwa ushindi wa SupaJackpot Bonus, Mkuu wa kitengo cha mawasiliano SportPesa Sabrina Msuya aliwataka watanzania kuendelea kuiunga mkono SportPesa, kutokana na fursa ambazo zipo kwa wachezaji.
alimtaka kuendelea kucheza jackpot na huenda siku moja ataibuka kuwa mshindi wetu wa jackpot kamili.
“Kwanza nikupongeze kwa ushindi wako huu ulioupata na pia nakusihi uendelee kucheza jackpot za sportpesa, multibet pamoja na michezo mingine kama ya kasino ya Virtual Pro na Aviator” Alisema Sabrina
Ni juhudi yako kama mchezaji, kuendelea kucheza kila Jackpot zinapotoka, ili uweze kucheza na kujaribu fursa ya kuwa bilionea au milionea kama Kagodoro alivyojishindia mkwanja huu wa Sh 5,296,460
Supa Jackpot ya wiki mechi kuanzia 13 hadi 17 imesimamia shillingi 1,169,869,880.

