Leo tunawaletea mchezo wa Extra Juicy Megaways. Huu ni mchezo wa kasino jamii ya mashine (slot games), unaochezwa kwa mfumo wa kimtandoa (online gaming), unaopatikana kupitia tovuti yetu ya sportpesa.co.tz.
Mchezo huu unatumia maduara sita (6 Reels) yanayozunguka toka juu kwenda chini, kutoka kushoto kwenda kulia, yakiwa na safu kuanzia 2 mpaka safu 7. Tofauti katika idadi ya safu imetokana na suala la kifundi la kampuni iliyotengeneza mchezo huu Megaways, sababu ambayo inakupa mpaka njia 117649 za kushinda.
Unaweza ukachagua kiwango cha chini kabisa cha kuweka dau lako ambacho ni Sh 50.
Kama ambavyo jina la mchezo huu linavyojieleza, Extra Juicy Megaways, umebeba maudhui ya matunda mbali mbali kama Zabibu, Tikiti, Machungwa, Kiwi, ikijumuisha na baadhi ya alama kama namba 7, kito aina ya Almasi na Kengele.
JINSI MCHEZO UNAVYOCHEZA NA UNAVYOLIPA
Kama ambavyo nimeongelea hapo juu kuhusiana na alama zinazohusika na mchezo huu wa Extra Juicy Megaways, Alama zote ni matunda kasoro alama ya namba 7, kengele na Almasi.
Mchezaji anajitengenezea nafasi ya kushinda mkwanja pale ambapo alama tatu au zaidi za aina moja ya tunda au namba 7, au kengele au Almasi zitakapotengeneza kombinesheni kwenye duara (Reel) kuanzia kushoto kuelekea kulia bila kujalisha duara ambalo alama hizi zimeanzia.
Mathalan matunda aina ya tikiti au machungwa yakitengeneza kombinesheni kuanzia matatu au keuendelea, kila duara litadondosha matunda bila kuzingatia mpangilio maalum, wakati maduara (reel) yapo hai, nikimaanisha yanazunguka.
Hapa kila mzunguko unaweza ukawa na alama kuanzia mbili mpaka saba kutegemeana na safu za maduara zilivyojipanga. Kama safu pamoja na alama zikikutana kwenye mizunguko basi unaweza kufurahia njia zaidi ya 117649 za kukupa ushindi.
Alama za matunda zenye malipo madogo ni pamoja na Zabibu, Machungwa, Kiwi, Ndimu na Cherry. Kama utabahatika kupata alama sita za matunda aina hii, basi malipo yake yatakuwa 0.6X dau au 1Xdau.
Hapo unaweza kujionea ni kwa kiasi gani alama za matunda hayo zilivyo na malipo kidogo. Kwa upande mwingine alama zenye malipo makubwa ni pamoja na matunda damu (Plums), Blueberry, Tikiti, kengele na Almasi.
Iwapo mteja wa SportPesa Kasino atafanikiwa kupata alama sita za kati ya matunda damu, Blueberry, matikiti, namba 7 au Almasi basi malipo yake yatakuwa kuanzia 1.5 X dau mpaka 6 Xya dau la mteja.
ALAMA ZA MCHEZO WA EXTRA JUICY MEGAWAYS
Katika mchezo huu wa Extra Juicy Megaways kuna alama kuu 4, ambazo ni Tumble (mtetemo), Michezo au mizunguko ya bure (Free Spins), Bashiri za Ante (Ante Bet) na bonus za kununua (Bonus buy).
Tukianzania na alama ya kwanza ‘’Tumble’’. Pale ambapo mteja wa SportPesa atakuwa anacheza mchezo huu, maduara (reels) yatazunguka na kutengeneza kombinesheni ya ushindi, basi alama zote za Tumble zitapotea.
Alama mpya zitaanguka chini na kuziba nafasi tupu, ambayo imeachwa na alama zilizopotea. Mizunguko itaendelea kwa kufuata mtiririko huo, ikiwa bado alama zitakuwa zinaendelea kuanguka na ushindi unapatikana.
Jambo lingine ni pale alama ya Tumble inapokuwa imehuishwa yaani (activated), alama ya Scatter na Multiplier hazitapotea bali zitadondoka chini kwenye maduara husika (fall to the bottom of respective reel).
Ikitokea umepata alama 4 au zaidi za Scatter, basi alama ya mizunguko ya bure itahusishwa na kuwa hai, kutegemeana na umepata alama ngapi kati ya 4,5 au 6. Hali hii itapelekea mchezaji wa SportPesa kuzawadia kati ya michezo 12, 16 na 20 ya mizunguko ya bure.
Jambo la kufurahisha ni kwamba kwa kila alama ya scatter utakayopata ukiachia hii ambayo tayari umepata basi utazawadiwa mizunguko mingine minne ya bure, ambapo pia unaweza kujishindia jumla ya mizunguko 42 ya bure kwa wakati mmoja.
Na ikiwa umepata kati ya mizunguko ya bure 12 na 20 unaweza kuendelea kupambania mizunguko ya bure. Na kama utakua umeamua kupambania mizunguko ya bure, utapata nafasi ya kuzungusha gurudumu la duara, na kama utakuwa umeangukia sehemu sahihi, utapanda nafasi moja juu kwenye mita.
Ikiwa utazungusha gurudumu na utaangukia sehemu isiyo sahihi, basi utashushwa chini kwa nafasi moja.
Kwa ufupi mteja liyeamua kupambania kupata mizunguko zaidi ya bure, pale atakapoamua kuzungusha gurudumu la tairi atakuwa na nafasi mbili. Moja ina manufaa pale tu mshale kwenye gurudumu utakapoangukia sehemu sahihi, basi atapa mizunguko 28 ya bure.
Nafasi ya pili ambayo haina manufaa ni pale mteja atakapozungusha gurudumu na mshale ukaangukia eneo lisilo sahihi. Hapa kitakachotokea ni kwamba mteja ataishia kupata mizunguko 8 tu ya bure.
Jambo moja zuri kuhusiana na mizunguko ya bure lipo kwenye malipo ambayo unaweza kuayapata iwapo utafanikiwa kupata mizunguko ya bure. Angalia mtitiriko wa malipo utakavyotokea iwapo utafanikiwa.
Ukipata kuanzia mizunguko 8-12 nafasi ya kupiga mkwanja ni asilimia 66.66%
Ukipata kuanzia mizunguko 12-16 nafasi ya kupiga mkwanja ni asilimia 50.00%
Ukipata kuanzia mizunguko 16-20 nafasi ya kupiga mkwanja ni asilimia 50.00%
Ukipata kuanzia mizunguko 20-28 nafasi ya kupiga mkwanja ni asilimia 33.33%
ANGALIZO
Wakati wa mizunguko ya bure hauwezi kuhuisha na kupata mizunguko mingine ya bure, isipokuwa alama za Scatter zitadondoka zikiwa na alama za kuzidisha 3X, 4X, 5X, 6X, 8X, 10X, 12X au 15X.
Kila utakapopata ushindi alama ya ‘’Tumble’’ itahuishwa, maana yake mizunguko ya bure itaendelea, mpaka pale ambapo hakutatokea tena alama ya ‘’Tumble’’ ikitokea. Ikimaanisha hakuna tena mizunguko ya bure.
Mwendelezo wake ni kwamba pale ambapo mizunguko ya bure imekata, basi alama ya Scatter ambayo ndio huwa inaandamana na hizo namba za kuzidisha itakuongezea malipo kwenye ushindi wako.
ANTE BET
Kwa kuhuisha bet yako mama, unajitengenezea nafasi ya kupata mizunguko ya bure kwa urahisi. Hi ni kwa sababu alama nyingi za Scatter zitawekwa kwenye safu za maduara ya mzunguko hivyo kukupa asilimia kubwa ya kuhuisha mizunguko ya bure.
Ili upate faida hii ya Ante bet unatakiwa uongeze 25% ya kiwango chako cha dau. Mfano mathalan ulikuwa unacheza Tsh 1000 kila mzunguko asilimia 25% unayotakiwa kuongeza hapo ni kwamba sasa utakuwa unacheza kwa 1250.
KUNUNUA BONASI (BONUS BUY)
Kama unataka kuchukua faida ya mizunguko ya bonasi, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza alama ya kununua bonasi (bonus buy feature), kisha utaweka dau lako na kuzidisha mara 100. Hapo utapata alama za Scatter kuanzia 4, ambazo zitahuisha mizunguko yako ya bure.
Kumalizia jaribu kucheza michezo hii kwani bahati haina mwenyewe.


MIZUNGUKO YA BURE