skip to Main Content
TUNATAMBULISHA CASINO ANDROID APP KWA WATUMIAJI WA SIMU JANJA.

TUNATAMBULISHA CASINO ANDROID APP KWA WATUMIAJI WA SIMU JANJA.

Tumeendelea  kuonyesha ubunifu kwa wateja wetu kwa kutambulisha michezo ya kasino kwa watumiaji wa simu janja android.

Hii ikiwa ni muendelezo kwa awamu nyingine baada ya kutambulisha huduma hii kwa watumiaji wa tovuti pekeee.

Akizungumza mara baada ya uzinduzi huo Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tanzania Tarimba Abbas alisema

“Ni furaha kubwa kwetu kuzindua rasmi Application yetu ya mchezo wa Casino kwa watumiaji wa simu za android kwa sasa,

tunaendelea na taratibu za kutayarisha Application pia kwa watumiaji wa iOS”

“Ndani ya SportPesa Kasino kuna michezo zaidi ya mia moja huku ikimpa nafasi mchezaji kuweka dau kuanzia shilingi 20 kulingana na mchezo”

“Hii ni nafasi njema kwa mteja wetu kwani tumempa uwezo wa kuhamisha fedha kutoka kwenye pochi ya kubet michezo

mbalimbali na kuweka kwenye pochi ya kasino bila gharama yoyote”

“Lengo kuu ikiwa ni kuburudisha na kumpa fursa mteja wetu kuzidi kufurahia huduma zetu huku tukiendelea kutoa

huduma saa 24 kwa ubunifu wa hali ya juu.

Mpaka sasa SportPesa imeongeza masoko mbalimbali kupitia tovuti yao ya www.sportpesa.co.tz kama Jenga bet, Jackpot, Michezo halisi huku vyote hivi vikipatikana wa watumiaji wa mitandao yote ya simu.

Kupakua Application ya casino bofya hapa.

Share this:
Back To Top