Clement Mzize ‘is back’: Aiangamiza Mashujaa FC, Wasifu, Takwimu zake Ligi Kuu NBC hizi hapa
Gundua wasifu kamili wa Clement Mzize, mshambuliaji chipukizi anayeng'ara na Yanga SC na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Jifunze kuhusu safari yake ya soka na mchango wake uwanjani.
