Barcelona 1-2 Real Madrid: Kylian Mbappe afunga mabao 2, kuipa Real Madrid ushindi wa El Clasico, La Liga, Highlights
Real Madrid imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya mahasimu wao wakubwa Barcelona katika mchezo wa El Clásico wa LaLiga 2026/27, huku bao la Kylian Mbappé likiwaamulia mchezo huo.
