Simba SC kufanya usajili mkubwa | Maeneo yatakayoboreshwa | Mo atoa tamko zito | Ahmed atamba
Simba SC imepania kufanya usajili mkubwa kuelekea msimu wa 2025/26. Ikumbukwe kwamba timu hiyo msimu wa 2024/25 ilikosa mataji yote iliyokuwa inayapambania jambo ambalo linawafanya waje na hasira zaidi. Miongoni…
