Senegal 1-0 Misri Sadio Mane shujaa mbele ya Mo Salah wakitinga fainali AFCON 2025/ Highlights, stats
Senegal 1-0 Misri ni matokeo ya nusu fainali AFCON 2025. Sadio Mane ni mfungaji pekee wa goli la ushindi kwenye mchezo dakika ya 78. Mane amemfungashia virago Mo Salah wa…
