TRA United vs Yanga SCTRA vs Yanga SCTRA vs Yanga SC

TRA United vs Yanga SC
Ibrahim Bacca (-)

TRA United vs Yanga SC ni mchezo unaofuata kwenye ratiba ya NBC Premier League 2026/27.Pambano hili linatarajiwa kupigwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Oktoba 24,2026.Kikosi cha Yanga SC kimejumuisha wachezaji muhimu akiwemo Albert Kangwanda,Dickson Job, Maxi Nzengeli, Clement Mzize na Kibwana Shomari. Wenyeji TRA United wapo kamili kuwakabili wapinzani wao saa 10:00 jioni.

SOMA HII PIA:TRA United yaibana mbavu Yanga SC NBC Premier League/ Highlights, statics, standings

Vuna mkwanja mapema kabla ya dakika 90

Kuna nafasi kuvuna mapene mapema kabla hata ya dakika 90.1 UP, 2UP inakupa chaguo lako la ushindi na uhakika. TRA United vs Yanga SC fanya ubashiri wako na uvune mamilioni.Bashiri kwa uwajibikaji, bofya link hapa chini:-

TRA vs Yanga SC
TRA vs Yanga SC

TRA United vs Yanga SC taarifa muhimu

Kipengele Maelezo
Mashindano NBC Premier League
Mchezo TRA United vs Yanga SC
Uwanja Sheikh Amri Abeid
Tarehe 24/10/2026
Timu mwenyeji TRA United

H2H TRA United vs Yanga SC

Katika mechi za hivi karibuni walizokutana Yanga SC imekuwa ikipata matokeo mazuri.Mechi 4 ushindi ni mara 3 kwa Yanga SC huku sare ikipatikana moja. TRA United haijawa na rekodi nzuri mbele ya mabingwa watetezi licha yakutoa ushindani mkubwa.

Tarehe Mashindano Timu mwenyeji Timu ya ugenini Matokeo
June 27, 2026 Tanzanian Premier League Yanga SC TRA United 3–0
March 18, 2026 Tanzanian Premier League TRA United Yanga SC 0–0
January 6, 2026 Club Friendly / Other Yanga SC TRA United 1–0
April 2, 2025 Tanzanian Premier League TRA United Yanga SC 0–3

Prediction TRA United vs Yanga SC

Kwa takwimu za Yanga SC inaonesha ina kasi kubwa kwenye eneo la ufungaji ndani ya ligi 2026/27.Safu ya ushambuliaji imefunga mabao 17 baada ya mechi 7 inakutana na timu iliyofunga mabao 6.Wababe hawa wawili wana tofauti ya mabao 11.Hii ikiwa inaamisha kwamba mabao kwenye mchezo wa leo hayatakosekana.

Upande wa safu ya ulinzi, Yanga SC imeruhusu mabao 4 baada ya mechi 7. Safu ya ulinzi ya TRA United imeruhusu mabao 7.Matokeo yanaweza kuwa TRA United 1-3 Yanga SC, haya ni maoni ya mhariri, matokeo kamili yatapatikana baada ya dakika 90.

SOMA HII PIA:TRA United vs Yanga SC NBC Premier League Machi 18/2026 Arusha/ H2H, lineups, statics, live score

Hitimisho

Wababe wawili TRA United vs Yanga SC wanakutana ikiwa ni mzunguko wa kwanza NBC Premier League.Wakusanya mapato wapo nafasi ya 13 wakiwa na pointi 6.Wananchi wapo nafasi ya pili wamekusanya pointi 18.

Share this: